January Makamba aiagiza TANESCO isikodi mitambo ya dharura. Ataka mradi wa Rufiji usicheleweshwe

January Makamba aiagiza TANESCO isikodi mitambo ya dharura. Ataka mradi wa Rufiji usicheleweshwe

[emoji23][emoji23][emoji23] naona unawakilisha elimu yako vizuri kwenye kipengele cha Lugha ya Kimombo. Hahaha "Let be Passion".
Hii ni lugha ya watu kuianduka wa usahihi sana haina maana yoyote,nikikosea kuandika kiswahili nitukaneni,maana ndio lugha yangu.
 
Kinachotakiwa ni umeme wa uhakika, watafanyaje sisi haituhusu...
 
Bomba la gesi toka Mtwara-Dar lipo na linatumika kwa 6% tu - ni kweli hatujamsikia Waziri akigusia pande hizo.
Kwa nini mitambo ya umeme wa gesi haikuwekwa Huko huko kusaini basal ya kuleta Darisalamu. Umeme siungexalishwa huko na kuongezwa kwenye grid ya taifa
 
Back
Top Bottom