RWANDES
JF-Expert Member
- Jun 12, 2019
- 1,788
- 4,401
Kilio ni kikubwa maeneo mengi ya nchi huyo waziri kiujumla mimi tangu amepewa Wizara ya Nishati sijaona amefanikiwa kwenye chochote zaidi ya kutuacha kwenye giza totoro
Hata huko alipopelekwa kufichwa hakuna atakachofanya ila kwa kuwa utawala wenyewe hauangalii uchapakazi basi maisha lazima yaende hivohivo.
Tangu asubuhi watu tunalia na umeme hadi usiku huu hakuna dalili ya umeme kurudi! kijana huyo mjanjamjanja ametuacha pagumu Naibu waziri mkuu ana kazi ya kufanya tena ikibidi avunje board yote aanze upya kabisa na watendaji wengine hapa tunatafuta mishumaa wenye majenireta yanapiga kelele mji mzima hakuna kusikilizana mtaani hapa.