January Makamba ameacha shida kubwa kwenye nishati ya umeme

January Makamba ameacha shida kubwa kwenye nishati ya umeme

Kiko wapi!! Kiko wapi??

Tutalala giza sana tu
Kwani hawakusalia,chawa na kunguni, wake kwani popote kwenye malazi chawa na kunguni hawakosi,hasa palipo na malazi na makazi machafu.😂😂🤔
 
Kiko wapi!! Kiko wapi??

Tutalala giza sana tu
Mkuu, watu huwa wanajitoa ufahamu.
Wanavyolalamika utadhani nchi hii imewahi kuwa na umeme muda wote wa mwaka vipindi vyote tangu tupate uhuru.
 
Duh hivi wewe unafikiri kwa kutumia makalio.Yaani ukimeona mdada mjamzito leo unafikiri kabeba mimba leo leo.
Kwa hoo kabla ya makamba umeme ulikuwa haukatiki ? Binadamu mtu mweusi huwa anakumbukumbu ndogo sana na ndio mashaka ya kuwa mtu kamili yanapoanzia. U Gorilla utatutoka line ?
Third world country ikawe na umeme siku 366 kwa mwaka. Lini TZ imeingia first world ktk jambo ka umeme.
 
Mbona unafikiria kwa kutumia matacall? Kinachoendelea ni legacy yake. Kwa damage yote aliyoifanya uliexpect akiondoka ndo vitu virudi tu vile vile? Acha ungumbaru
Kaacha legacy gan? Ni vzr muelewa tu Nchi hii haijawah kua na umeme wa uhakika na matatizo ni kila mara! Binafs siamin kwamba makamba ndie kasababisha hili tatizo la umeme!! Nakuhakikishia hata bwawa likianza uzalishaj umeme utakua ni changamoto tu!!
 
Mbona unafikiria kwa kutumia matacall? Kinachoendelea ni legacy yake. Kwa damage yote aliyoifanya uliexpect akiondoka ndo vitu virudi tu vile vile? Acha ungumbaru
Haya toa time frame maana mkishatengeneza fitina mkafanikiwa mnaanzisha sababu na visingizio pale mnapoona bado mambo ni hovyoo.
Ondoa huo upimbi kichwani mwako. Idiot
 
Watazamwe sana mule ndani, kuna "sabotage" ya hali ya juu.

Kinyerezi l, ll, lll, lV yote haifanyi kazi?
 
Kaacha legacy gan? Ni vzr muelewa tu Nchi hii haijawah kua na umeme wa uhakika na matatizo ni kila mara! Binafs siamin kwamba makamba ndie kasababisha hili tatizo la umeme!! Nakuhakikishia hata bwawa likianza uzalishaj umeme utakua ni changamoto tu!!
Hizi imani zitatusumbua sana,nimshauri waziri mpya tanesco inahitaji oil mpya Kuna mkuu hapo suala la kukosa umeme kwake siyo tatizo Sasa hivi ana waandaa watz ataanzisha mgao hivi karibuni,kifupi CEO aliyepo hatufai, waziri tafuta CEO mwingine maharage hatafuti namna ya kuepusha mgao yupo kuandaa watu kisaikologia.
 
Ni lini nchi hii ilikaa bila mgao . Hivi mbona mnakuwa wasahaulifu sana!!! Ni waziri yupi au CEO yupi aliwahi kufanikisha suala la umeme nchini
 
Back
Top Bottom