January Makamba ameonyesha uthabiti kusimamia maslahi ya Tanzania nje ya nchi, mfano mzuri ni suala la ATCL kuzuiwa biashara Kenya

Hana jema lolote alilowatendea watanzania zaidi ya mateso
 
Anajitafutia shibe bila kujali mateso tunayopata watanzania kwenye umeme
 
Wanaokutana ni mawaziri wa mambo ya nje, sio wa uchukuzi, tumia akili, kichwa chako usikifanye mzigo
Sijaongelea kukutana ambayo ni matokeo ya zuio. Naongelea Maamuzi ya kuzuia mambo ya kiuchukuzi ni jambo la waziri wa ushirikiano? Kwamba waziri wa uchukuzi alikaa pembeni tu akaacha Januaru aamue kwa ajiki yake kuzuia ndege za Kenya?
 
Ila aliniangusha Kwa wale bvijana waliouwawa na Hammas.
 
Sijaongelea kukutana ambayo ni matokeo ya zuio. Naongelea Maamuzi ya kuzuia mambo ya kiuchukuzi ni jambo la waziri wa ushirikiano? Kwamba waziri wa uchukuzi alikaa pembeni tu akaacha Januaru aamue kwa ajiki yake kuzuia ndege za Kenya?
Kama ulinusurika kwenye vyeti feki, basi uchawi upo
 
Acha kusifua ujinga, Wakenya kuna Figusi nyingi wanaifangia Tanzania, na shida tumrkaa kizezeta sana
 
Makonda karudi sasa naona hata bundle kwako siyo issue tena

Acha kunionea wivu.. lini sijakuwemo.huku muda mrefu!!! Pokea πŸ’‰πŸ’‰πŸ’‰πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

Bado nasubiri nikutane nae siku moja...tena kwa sasa na Rai's wetu Mwanamke nae nikuone USO kwa uso nimsalimie.. sio kumuona akipita area kila mara..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…