Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umahiri gani zaidi ya kupiga dili kufunika mashimo yaliyosababishwa na JPM katika camp yao, sasa ndio wakati wa dili kufumuka.The comeback Kid...
Ashindwe yeye sasa, upewe nini tena zaidi ya kujenga jina na kuonyesha umahiri?!
Kazi kwake Mh J Makamba..
Mbona hata katiba mpya yalitumika mamilioni, na sasa wanasema siyo kipaumbele,hata hilo inawezekana piaHatuwezi kuliacha hilo bwawa baada ya kutumua mamilioni yote hayo
Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
Mhhh...itakavyokuwa..Umahiri gani zaidi ya kupiga dili kufunika mashimo yaliyosababishwa na JPM katika camp yao, sasa ndio wakati wa dili kufumuka.
Duh...Hadi kuzalisha umeme
Labda pia na ile issue ya Makamba senior, Nape, na Msomali, waliporekediwa...Na wewe kweli unaamini alikuwa anapinga kweli? Acha kuokota maneno mitaani na kufanya kama data, Makamba alitolewa uwaziri sababu ya issue ya mifuko.
Ndiyo hapo sasa“Inasemekana”
Ila huna uhakika na haya
Je baada ya hapo aliendeleza kampeni za kuukataa mradi huo?
Kama limefika % zaidi ya nusu ni fedha na nguvu nyingi zimetumika
Sasa yeye nani eti ausimamishe
Tuwe tunatumia akili za ziada kidogo
January amewekewa mtengo ajimalize mwenyeweMbunge wa Bumbuli January Makamba alikuwa Waziri wa Mazingira katika serikali ya awamu ya 5 kwa miaka minne mpaka alipotenguliwa mwaka 2019.
Inasemekana January Makamba kwa kuwa alikuwa Waziri wa Mazingira kwa hiyo kimya kimya alikuwa anapinga mradi wa Bwawa la Nyerere kuwa eti utasababisha ukataji wa miti na hivyo kupelekea uharibifu wa mazingira nchini.
Leo ameteuliwa kuwa Waziri wa Nishati huku Bwawa la Nyerere litakalozalisha zaidi ya megawatt 2115 likiwa limefikia 52% ya utekelezaji wake na tarehe 15/11/2021 litaanza kujazwa maji rasmi.
Je, January Makamba ataenda kumalizia ujenzi wa hili bwawa au ataenda kufutilia mbali ujenzi wake iki kuokoa mazingira kama msimamo wake ulivyo tangu zamani?
Yetu macho na masikio.
Au ndo ule msemo wa "ukoo wa panya"!!Wezi wanabadilishana tu wakati wa kula
Kama lini?Watanzania hawatakubali
Mbunge wa Bumbuli January Makamba alikuwa Waziri wa Mazingira katika serikali ya awamu ya 5 kwa miaka minne mpaka alipotenguliwa mwaka 2019.
Inasemekana January Makamba kwa kuwa alikuwa Waziri wa Mazingira kwa hiyo kimya kimya alikuwa anapinga mradi wa Bwawa la Nyerere kuwa eti utasababisha ukataji wa miti na hivyo kupelekea uharibifu wa mazingira nchini.
Leo ameteuliwa kuwa Waziri wa Nishati huku Bwawa la Nyerere litakalozalisha zaidi ya megawatt 2115 likiwa limefikia 52% ya utekelezaji wake na tarehe 15/11/2021 litaanza kujazwa maji rasmi.
Je, January Makamba ataenda kumalizia ujenzi wa hili bwawa au ataenda kufutilia mbali ujenzi wake iki kuokoa mazingira kama msimamo wake ulivyo tangu zamani?
Yetu macho na masikio.
Ulikuwa mtoto mdogo utajuaje hayo ni ya watu waliokutanguliaUnatunga uongo wako na kusema inasemekana alafu unauliza swali Kama atamalizia mradi?
Danganyaneni huko huko chato kwenu. January hajawai pinga mradi wa Bwawa la Nyerere. Acha kusema uongo
Wewe ndo mtoto mdogo sana kwangu!Ulikuwa mtoto mdogo utajuaje hayo ni ya watu waliokutangulia