January Makamba amewekwa kwenye mtego, aliyoyakataa sasa anaenda kuyasimamia

Na wewe kweli unaamini alikuwa anapinga kweli? Acha kuokota maneno mitaani na kufanya kama data, Makamba alitolewa uwaziri sababu ya issue ya mifuko.
 
The comeback Kid...
Ashindwe yeye sasa, upewe nini tena zaidi ya kujenga jina na kuonyesha umahiri?!
Kazi kwake Mh J Makamba..
Umahiri gani zaidi ya kupiga dili kufunika mashimo yaliyosababishwa na JPM katika camp yao, sasa ndio wakati wa dili kufumuka.
 
Na wewe kweli unaamini alikuwa anapinga kweli? Acha kuokota maneno mitaani na kufanya kama data, Makamba alitolewa uwaziri sababu ya issue ya mifuko.
Labda pia na ile issue ya Makamba senior, Nape, na Msomali, waliporekediwa...
 
“Inasemekana”
Ila huna uhakika na haya
Je baada ya hapo aliendeleza kampeni za kuukataa mradi huo?

Kama limefika % zaidi ya nusu ni fedha na nguvu nyingi zimetumika
Sasa yeye nani eti ausimamishe
Tuwe tunatumia akili za ziada kidogo
 
“Inasemekana”
Ila huna uhakika na haya
Je baada ya hapo aliendeleza kampeni za kuukataa mradi huo?

Kama limefika % zaidi ya nusu ni fedha na nguvu nyingi zimetumika
Sasa yeye nani eti ausimamishe
Tuwe tunatumia akili za ziada kidogo
Ndiyo hapo sasa
 
Kuwa na fikra tofauti sio dhambi mwisho wasiku mawazo yawengi yakishinda mnasimamia hayo hatakama uliwaza tofauti awali!!
 
January amewekewa mtengo ajimalize mwenyewe
 
Ukisikia "Mchawi mpe mwanao amlee," ndiyo hiyo.
Rais SSH amewatahadharisha mawaziri wote wachape kazi,hataki kusikia nahau au hadithi za Alifu Lela.
Atatumia kalamu kuwaondoa watakao shindwa kutatua matatizo ya wananchi.
Mh Waziri Makamba,tunategemea kushuka kwa gharama za umeme kwa unit moja, (Mradi wa bwala la Mwalimu Nyerere utakapozinduliwa November 2021).
Bei ya umeme ikiwa nafuu, itachochea uanzishwaji wa viwanda vidogo vidogo vijijini.
 

Mkuuu Siasa Ni mchezo Hatari sana. Ukidhani umeelewa Kumbe ndo the opposite is true. SSH anaweza Pia akawa upande mmoja anamtoa kwenye kinyang‘anyiro cha Urais kijanja, au kwa upande mwingine katika logic hiyo hiyo anamwandaa kwa ajili ya kampeni za Urais. Na Hapo Nape ndo anakuwa njiani wizara ya michezo na sanaa na utamaduni. Ukiwa umeshiba ndo Uje hapa piga maneno then tunarudi kwa wake zetu kwa kazi mbadala.
 
Unatunga uongo wako na kusema inasemekana alafu unauliza swali Kama atamalizia mradi?

Danganyaneni huko huko chato kwenu. January hajawai pinga mradi wa Bwawa la Nyerere. Acha kusema uongo
Ulikuwa mtoto mdogo utajuaje hayo ni ya watu waliokutangulia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…