January Makamba anafaa kugombea Urais 2030

January Makamba anafaa kugombea Urais 2030

#JanuaryMakambaForThePresidency2030

Wadau hamjamboni?

Ukweli lazima usemwe tu haya kama muda wa kuusema haujafika.

Ndiyo January Malamba ndiye chaguo sahihi la Watanzania kuelekea 2030

Naam anazo sifa zote, uchapakazi, weledi, uzoefu wa kutosha kuanzia awamu ya 3 hadi sasa.

Anao uzoefu mkubwa kwenye Serikali akihudumu kwa nafasi mbalimbali kuanzia Msaidizi wa Rais, Naibu Waziri na sasa Waziri kamili. Aidha amehudumu kwenye Chama cha Mapinduzi muda mrefu akiwa kada mahiri

Maeneo yote amehudumu kwa weledi mkubwa

Kwa maoni yangu yeye ndiyo chaguo sahihi la kizazi kipya.

View attachment 2709491
Ni kichaa tu anayeweza kusema kwamba huyu anafaa kugombea urais
 
utageuza Taifa hili la wapiga dili promax ...kati ya watu wanaomwangusha Raisi huyu ni number one hakuna mwingine .....marushwa yote hayo tanesco...
 
Labda tuambie vitu viwili alivyofanya huku mbwa wako ambavyo vinaweza kuonesha kuwa alipoingia katika wiraza fulani alionesha mabadiliko.

Kama kuna vijana wa ovyo basi ni huyu.
 
#JanuaryMakambaForThePresidency2030

Wadau hamjamboni?

Ukweli lazima usemwe tu haya kama muda wa kuusema haujafika.

Ndiyo January Malamba ndiye chaguo sahihi la Watanzania kuelekea 2030

Naam anazo sifa zote, uchapakazi, weledi, uzoefu wa kutosha kuanzia awamu ya 3 hadi sasa.

Anao uzoefu mkubwa kwenye Serikali akihudumu kwa nafasi mbalimbali kuanzia Msaidizi wa Rais, Naibu Waziri na sasa Waziri kamili. Aidha amehudumu kwenye Chama cha Mapinduzi muda mrefu akiwa kada mahiri

Maeneo yote amehudumu kwa weledi mkubwa

Kwa maoni yangu yeye ndiyo chaguo sahihi la kizazi kipya.

View attachment 2709491
Rais mwizi wa mitihani
 
Back
Top Bottom