January Makamba anajisikiaje kusimamia Bwawa la Umeme la Nyerere?

JF Member

JF-Expert Member
Joined
Dec 14, 2014
Posts
7,914
Reaction score
10,793
Ama kweli mchawi mpe mtoto akulelee.

Hapo mwanzoJ Makamba akiwa kwenye mazingira alikuwa kwenye jopo la kuandaa report Uharibifu wa mazingira ya bonde la mto rufiji ambako bwawa la Umeme la Nyerere linajengwa.

Katika report ile pandekezo yalikuwa ni kutojenga lile bwawa kwa sasa litaharibu Ecosystem.

Sasa kapewa asimamie lile bwawa akiwa kama waziri wa Nishati.

Bahati nzuri tu ni kwamba hata UNESCO walishaamua lijengwa baadaya mvutano mkubwa sana ikiwemo kupigiwa kura kwamba lile bonde liondolewe kwenye urithi wa dunia. Wakati wa kupiga kura wengi waliamua lisiondolewe.

January anaweza asilihujumu kweli?
 
Wewe ulitaka ajiskiaje? Upumbavu utawaisha lini nyie watu?
 
Achana kabisa na wanasiasa noma sana

Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
 
Mbona wengine walihubiri Chanjo hazifai hadi wakatoka na mapovu, leo ndiyo wahamashishaji wakuu ili tukachanje.. hao nao waingine kwenye bandiko lako ili u-balance story.
Sasa mtu type ya Makamba utamchaguaje siku moja aje kuwa Rais wa Nchi?

Mtu ambaye Hana msimamo

Kosa la mtu mmoja haliwezi kuhalalisha la mwingine.
 
Sasa mtu type ya Makamba utamchaguaje siku moja aje kuwa Rais wa Nchi?

Mtu ambaye Hana msimamo

Kosa la mtu mmoja haliwezi kuhalalisha la mwingine.
Upepo wa kisiasa hubadilika ghafla hasa ukiwa ndani ya CCM. Kwa mfano ukiambiwa utaje vijana watano ndani ya CCM ambao ni presidential material Makamba huwezi kumwacha kabisa.
 
Upepo wa kisiasa hubadilika ghafla hasa ukiwa ndani ya CCM. Kwa mfano ukiambiwa utaje vijana watano ndani ya CCM ambao ni presidential material Makamba huwezi kumwacha kabisa.
Hata Lowasa alikuwa hivi.
 
Swali langu liko wazi kabisa.

Najielewa mno.. Ila wewe ndo hujaelewa.
 
Tundu Lisu alihubiri Lowasa ni fisadi alafu baadae akawa mbeba mabegi wa Lowasa mabadilikooooooo
 
SIHASA.....wanasiasa siyo watu wa kuwatilia maanani....anaweza akasema mlimnukuu vibaya
 
Mbona wengine walihubiri Chanjo hazifai hadi wakatoka na mapovu, leo ndiyo wahamashishaji wakuu ili tukachanje.. hao nao waingine kwenye bandiko lako ili u-balance story.
💔Kwa hiyo unafiki Ni Hadi yetu!
 
Lini UNESCO waliamua lijengwe?
 
WAAFRIKA KULA MATAPISHI NI KAWAIDA, HE WILL DRAG HIS FEET KWENYE UTEKELEZAJI HIYO NI OBSIVIOUS
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…