Mwanamwana
Platinum Member
- Aug 1, 2011
- 9,604
- 22,722
Wanao kwenda Harusini ndio wanaoenda msibani🤣🤣🤣🤣🤣Hahaha hao hao walimzomea juzi na wakachinja ng'ombe na kula nyama choma na supu.
Wachawi ndio huwa na huzuni sana msibani.Wanao kwenda Harusini ndio wanaoenda msibani🤣🤣🤣🤣🤣
🤣🤣🤣Wajumbe sio wa kuwaamini si ndo walimbeba kigwa juu juu kisha wakambwaga kwenye kura za maoni