January Makamba aweka historia Bungeni, haijawahi kutokea

January Makamba ameandika historia.

Kiwango cha hii rushwa hakijawahi kutokea tangu Tanzania ipate uhuru.

Akiwa mtoa rushwa mkuu, January Makamba, amehonga Bunge zima la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akiwa waziri

Je, ndoto yake ya kuwa Rais ikitimia si itakuwa jinamizi kwa taifa na atauza nchi nzima?

January ametumia taasisi chini ya Wizara ya Nishati, ikiwemo TANESCO, EWURA na TPDC kutoa rushwa ya zaidi ya Shilingi milioni 10 kwa kila mbunge

Aliwahonga wabunge kupitia posho za semina za mfululizo siku 2 kabla ya kusoma hotuba ya bajeti, akihalalisha pesa hizo kwa kutumia maonesho ya sekta ya nishati kwenye viwanja vya Bunge na semina za wabunge

Pia aliwahonga wabunge mitungi ya gesi 100 kila mmoja

Jumla ya pesa za umma alizotumia kuhonga wabunge ni zaidi ya Shilingi Bilioni 2

Tulia Ackson, ambaye mume wake ni bosi wa EWURA, alishirikiana kikamilifu na January kuhakikisha bajeti ya wizara yake inapita, licha ya usimamizi wake mbovu wa sekta ya nishati na tuhuma za ufisadi

Kwa rushwa hii, January amepoteza sifa zote za kuwa kiongozi
Endeleeni kumpiga Chura teke. 😂😂

Muwe tayari kukubali matokeo tu hayawani nyie. 😁
 
Unaweza kuthibitisha?
Maana ni rahisi kusema na wewe umetembea na mke wa mbunge fulani.
 
Kisasi cha wapinga maendeleo ni kuwaletea maendeleo wanaopinga maendeleo.Endeleeni na majungu lakini matokeo yake mtayapata.
 
Back
Top Bottom