ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
- Thread starter
-
- #21
Alikuwa mjinga,huwezi haribu uchumi sekta zingine Kwa visingizio vya kipuuziNyie mnapenda maisha ya siasa mkuu, maisha kama haya.. JPM hakuwa mtu wa hivyo
JPM forever, credit kwa Kalemani,huyo ndugu Makamba alidandia tu huo mradi ili aonekane kafanya kazi wakati si kweliHatinaye mashine ya kwanza kuanza kuzalisha umeme,
Mambo tayari huko [emoji91][emoji91][emoji91]
Hongera Serikali, Hongera Rais na Hongera Waziri Makamba
Sekta zina hela eeh ?Alikuwa mjinga,huwezi haribu uchumi sekta zingine Kwa visingizio vya kipuuzi
Swali Mbona Sasa hivi Kila sekta Kuna pesa tena zimeongezeka mara 2,zometoka wapi? Mfano Watoto wa vyuo Vikuu wote wamepata mkopo yule mtu wenu alishindwa π€£π€£
Ni kweli yule bwana kuajiri kulimshinda akaishia kufukuza watumishi kwa kisingizio cha vyeti fekiMtu alishindwa kutoa Ajira,mikopo,mishahara ,madawati ,posho huku akisingizia miradi π€£π€£
Mbona vyote vinafanyika Sasa na mama bila excuses? Na kaongeza mabilioni ya Bajeti Wizara zote at par
Hakuwa na hela ,Mzee wangu alistaafu kazi kuja kupewa mafao baada ya miaka 2 tena kwa.kupunjwa ππNi kweli yule bwana kuajiri kulimshinda akaishia kufukuza watumishi kwa kisingizio cha vyeti feki
Hongera Hayati Rais Magufuli kwa uamuzi wako usiyoyumba kama ungekubaliana na huyu Makamba ambaye alisema tunaharibu mazingira nafikiri mradi huu ungekuwepo!Hatinaye mashine ya kwanza kuanza kuzalisha umeme,
Mambo tayari huko π₯π₯π₯
Hongera Serikali, Hongera Rais na Hongera Waziri Makamba
January Makamba,Akiwa Waziri Ofisi ya makamu wa Rais mazingira na Samia Akiwa makamu wa Rais alipinga ujenzi wa Bwawa la Umeme la Julius Nyerere Leo anasema. Bwawa Kuanza Uzalishaji wa Umeme Mwezi Juni 2023.Hatinaye mashine ya kwanza kuanza kuzalisha umeme,
Mambo tayari huko π₯π₯π₯
Hongera Serikali, Hongera Rais na Hongera Waziri Makamba
Taja sekta ambavyo Haina hela,nitajie hata Moja unayoijua weweSekta zina hela eeh ?
acha tukaushe.. ila hali sio shwari kama ambavyo wanasiasa wanasema .. issue ni tight kinyamaa
January Makamba,Akiwa Waziri Ofisi ya makamu wa Rais mazingira na Samia Akiwa makamu wa Rais alipinga ujenzi wa Bwawa la Umeme la Julius Nyerere Leo anasema. Bwawa Kuanza Uzalishaji wa Umeme Mwezi Juni 2023.
Baada ya kifo cha bwana Yule kapewa tena wizara ya nishati na aliyekuwa bosi wake saa100.
Sasa ninajiuliza siasa Sio Mchezo mchango Kweli?
Alipinga Kwa hoja lakini akapewa dhamana ya usimamizi amesimamia vyema kabisa tena Kwa speed ya mwangaHongera Hayati Rais Magufuli kwa uamuzi wako usiyoyumba kama ungekubaliana na huyu Makamba ambaye alisema tunaharibu mazingira nafikiri mradi huu ungekuwepo!
Una video Tuone?Hatinaye mashine ya kwanza kuanza kuzalisha umeme,
Mambo tayari huko π₯π₯π₯
Hongera Serikali, Hongera Rais na Hongera Waziri Makamba
Video ya nini? Ingia you tubeUna video Tuone?
Wewe uko kwenye lile group la wezi, vyeti fake, wauza madawa ya kulevya hivyo lazima ulalamike sana na huwezi kumsahau kwa kukunyosha.Mtu alishindwa kutoa Ajira,mikopo,mishahara ,madawati ,posho huku akisingizia miradi π€£π€£
Mbona vyote vinafanyika Sasa na mama bila excuses? Na kaongeza mabilioni ya Bajeti Wizara zote at par
Huko kuna nyumba Za nyasi umeme mtafunga wapiTaja sekta ambavyo Haina hela,nitajie hata Moja unayoijua wewe
Mkuu sina haja ya kutaja sekta ila huo ndio ukweli. Na sie tupo kitaaa huku tunaona mambo yalivyoo.. usije kuwa upo kwenye mrija ndio maama huoni issue π π πTaja sekta ambavyo Haina hela,nitajie hata Moja unayoijua wewe
Kama alipinga mbona amesimamia kitu ambacho hakipendi?Alipinga Kwa hoja lakini akapewa dhamana ya usimamizi amesimamia vyema kabisa tena Kwa speed ya mwanga
Likishakuwa la Kitaifa sio lake binafsi upende au usipende utawajibikaKama alipinga mbona amesimamia kitu ambacho hakipendi?
Achana na huyo ndio wanafisadi kwa sasa lakini wakumbuke kuwa kuna siku yaja watazirudisha kupitia matundu yao yaliyopo mwilini mwao.Mkuu sina haja ya kutaja sekta ila huo ndio ukweli. Na sie tupo kitaaa huku tunaona mambo yalivyoo.. usije kuwa upo kwenye mrija ndio maama huoni issue π π π
Blaa blaa π€£π€£π€£π€£ huna hoja kubali Samia kawafunikaMkuu sina haja ya kutaja sekta ila huo ndio ukweli. Na sie tupo kitaaa huku tunaona mambo yalivyoo.. usije kuwa upo kwenye mrija ndio maama huoni issue π π π
Endelea kukariri unadhani Tanzania ya Sasa ni ya miaka ya MkapaHuko kuna nyumba Za nyasi umeme mtafunga wapi