January Makamba hili la Uteuzi wa Bodi ya TANESCO limekufunua mapema sana!!!

TULIOMBEE TAIFA LINAPITIA KWENYE WAKATI MGUMU SANA TANGU TUPATE UHURU.

UZURI WATANZANIA WANA AKILI YA KUDADAVUA MAMBO,ASANTE SNA JPM KWA KUTUFUNGUA MACHO.

TUTAFATILIA KWA KARIBU MWENENDO WA UMEME NCHINI HIYO BODI NA WAZIRI WAO WAJIPANGE.

TUTAKIWAKISHA.
 
hivi kwanini watu huws wanasema mama kaingizwa mjini? kwani haya mambo hakuyaona, uwezo wa kufikiri kwani mdogo. hebu tuweni serious kidogo
 
Mama ameingizwaje mjini kwani hawajui hao watu au hasomi kama amesini upupu hilo ni lake

Kwenye kijiwe cha gahawa hapa mwembe togwa wakaja wale the commedy wanaojitembeza barabarani wakiwa wamepaka masizi na vitambi vya malapulapu na sagurasagura.

Wanakijiwe wakajichanga ili wapate burudani ya kucheka kidogo kwa ajili ya afya.

Mmoja wa wachekeshaji akanza na kitendawili. Hivi...kitendawili wakaitikia tega. Nipe jina la nchi hapa duniani ambayo uteuzi wa bodi ya wakurugenzi unajazwa na majina ya timu ya kampeni. Hadi naondoka hapo walikuwa wanampa mji jamaa ili awapatie jibu.
 
.....Mungu peke yake.
 
Katika miaka yake mitano umesikia kelele yoyote tanesco? Au nyie ndo wale mnaoheshimu madanga ya wake zenu?
danga la mama ako liko sukuma gang nn.hakukua na kelele kwa sababu vyombo vya habari na democrasia viliminywa.sasa watu mpo huru ndo maana ukishiba ugali wa shemeji ako unakuja kuropoka humu
 
Hao wajumbe wa Bodi kashauriwa na Vasco Da Gama, wote ni maswahiba wa huyo Mzee aliyependa kuzurura Duniani kama mshamba wa wapi sijui.

Tunapitia wakati mgumu kuliko kipindi chochote, that's why nilimuelewa sana JPM, angalau JPM alikuwa na guts za kuwatandika watu ambao Nonsense.
 
Hili la Bodi ya tanesco litampiga chini Makamba, mm nishaona mapema, hii ni image mbaya kwa Januari sana
Kwani anaiteua peke yake? Yawezekana anashauriana na wengine au yeye anakuwa mtangazaji tu!
 
Acha WIVU wa kike. JANUARY MAKAMBA SONGA MBELE!

Upo sahihi, Mhe January wee songa mbele, kuna sehemu vijana waliwekwa na kuondoa wazee, yaani wazalendo wenye sifa as a result mashirika na agencies nyingine hazikwenda sawa! Wazalendo kama Mhandisi Omari Isa ni wachapakazi wa kuaminika, ni kundi la wazee wenye experience kubwa na kitaifa na kimataifa! Nakumbuka kuna kipindi Prof Mbarawa alitembelea shirika fulani la umma akakuta management imewafukuza kazi wazee wenye sifa na shahada zaidi ya moja wakawabakiza (vilaza) kazini, yaani wafanyakazi ambao hawakuwa na sifa, sasa Mhe Makamba kaanza from the top kurudisha wataalamu (washauri) muhimu kwenye shirika na umma!!
 
Lete nyaraka kuonesha aliwakilisha Tanesco!

Mnatunga mambo yenu hapa alafu mnajifanya wajuaji kumbe wajinga tu
 
Lete nyaraka kuonesha aliwakilisha Tanesco!

Mnatunga mambo yenu hapa alafu mnajifanya wajuaji kumbe wajinga tu
Heeh yeye mwenyewe tu January aliwahi kusema huyo mama hafai na akamshangaa JK ilikuwaje akamteua balozi ikiwa aliisaidia kuiibia Tanesco
 
HAHAHAHAAAA MTAMISI 10PERC ZA DC
RELAX KILA DHANA NA BARAKA ZAKE MMEKULA VYA KUTOSHAA SUBIRINI WENGINR WATEULIWE WALE TULIZA MZUKA
 
mwelezee huyu boya
 
BADO TPDC NA EWURA
MH JAN USICHELEWE PANGUA HIZI MTU PLS
 
Kwani ni lini Makamba aliwahi kuwa na uongozi bora?

Makamba na Nape ni watu wa hovyo kuwahi kutokea hapa nchini.

Bila kuiondoa ccm tutalalamika hadi makoo yetu yakauke bila mafanikio.
 
agreed
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…