GE2025 January Makamba: Hoja kwamba nautaka Urais hizo ni ramli tu, muda bado upo

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Huyu jamaa amejua kujizuia hisia zake

Nafikiri ile exposure ya kufanya kazi na Viongozi tofauti tofauti vimeweza kumjenga

Kila la heri kwenye maisha mengine nje ya Ubunge!
Makamba ni mtu ni kama vile Mtaka
 
48 laws of power…Law #22, "Use the Surrender Tactic: Transform Weakness into Power … si wenyewe tumesoma 🇨🇺 kama yeye , subiri uteuzi sasa
 
Wa
January hana akili anatumia mbinu za Lowassa ambazo zilikuwa sahihi wakati ule sio sasa. Yaani kwamba waandishi wameshtukiza ofisini kwake🤣🤣🤣 kwamba wamepigiana simu kwamba twendeni ofisini kwake na yeye hakuwa na taarifa! Tapeli mtupu.
 
Ndg yangu January makamba nakushauri tubu na kukiri kuwa TUNDULISU ndiye raisi wa nchi hii
 
Kwani kuna shida yoyote hapo?

Yeye alisha ambiwa "alipigwa kikofi kidogo" tu.
Asubiri zawadi ya hicho kikofi hapo Samia atakapo nyakuwa utawala kwa nguvu. Nafasi tele zipo tayari kwa watu kama hawa.
Kwani ulaghai wameanza leo?
 
"Mimi si mgombea wa urais, wala sijawahi kutangaza nia hiyo"

2015 hakutangaza nia na kuingia tano bora huyu au mimi kiswahili kinanipiga chenga?
 
Qmmmae zake. Anatakiwa awe ndani kwa ufisadi pale Tanesco akiwa waziri wa nishati. Ahame chama aone kama hawajamtapisha fedha zote alizofisadi. Ccm ni mafisadi wakubwa qmmmae zao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…