Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Ndugu Gwajima ambaye anajiita Daktari (haijulikani ni Daktari wa nini na alisomea wapi), na ambaye mimi sitamuita Askofu , mbunge wa ccm wa jimbo la Kawe, jimbo ambalo rekodi ya kukamatwa kwa lundo la mabegi ya wizi wa kura yaliyolindwa na Lazaro Mambosasa, RPC aliyefurushwa haijavunjwa duniani, amejitokeza kupinga kijima Chanjo ya Corona bila hoja za msingi, sasa ameanza kupingwa na wanaccm wenzake.
Pia soma:
#COVID19 - Askofu Gwajima: Ni jambo baya sana kuwapa Chanjo ya Corona Wanajeshi, Polisi na watu wa Usalama
#COVID19 - Propaganda za Chanjo ya COVID-19: Askofu Gwajima apuuzwe
Aliyejitokeza kwa sasa bila kuogopa kulogwa ni January Makamba