Gwajima ni mpumbavu tu na wanayemuunga mkononi wapuuzi vilevile.Hoja ni chanjo au chanjo ya Mmarekani? kama hoja ni chanjo ya mmarekani kwanini iwe ya corona pekeyake na si chanjo zingine ambazo watoaji ni wale wale.
Chanjo za watoto chini ya miaka 5 zinatolewa na hao hao bure ,kwanini nazo tusizikate, maana kama lengo ni kutuuua watatumia hata hizo za watoto za surua,ndu,kifua kikuu,tetekuwanga,polio ,pepopunda(tetenus) za wajawazito.Hakuna dawa hospitalini zilizotengenezwa na waafrica,zote zinatoka kwa hao hao.
Dawa za Ukimwi,kifua kikuu, Presha ,kisukali,madawa ya operation,Cancer kwa Ujumla dawa zote zinatoka kwa hao watu weupe, hivyo awaambie sereikali wapige marufuku dawa zote za wazungu zisitumike nchini,vinginevyo kama nia ni kutuuua watatumia haya madawa na chanjo kutekeleza azma yao.
Kama issue ni mmarekani tuagize chanjo ya Urusi au China au Cuba au Iran maana naye nasikia anatengeneza yake.
Ni Mpumbavu pekee anayetaka Tanzania ijitenge na dunia kwenye chanjo wakati hatuna uwezo wa kutengeneza kidonge. Mtu yeyote humu ataje kidonge kilichowahi kutengenezwa Tanzania na kutumika humu nchini.
Ni wendawazimu kudhani nchi ambazo haina urafiki wowote kama Marekani na Urusi au na China au na Cuba au na Irani eti ziungane kwenye suala la chanjo ili kuwaua Watanzania.
Huyu bwege Gwajima anachanganya tu habari mara analeta mambo ya dini eti chapa 666 sijui chanjo ni mpinga kristo , kama ni hivyo basi tulishapigwa chapa ya ndui mara bado ipo kwenye majaribio,mara zimetengenezwa kwa muda mfupi,anajaribu kulinganisha chanjo zilizotengenezwa miaka ya 1950s wakati teknoloji ikiwa duni na miaka hii ambapo dunia ipo mbali kiteknolojia
Anataka kutuambia hizo nchi ambazo zimetengeneza chanjo ambazo ambazo kwanza zina sera na mitazamo tofauti, zote zina lengo la kuwaua watanzania? Kwa kipi kilichopoTanzania hadi wapange njama za kuua watanzania? na kwa faida ipi kwao?
Bongo kweli vilaza wanazidi kuongezeka