Jumbe Brown
JF-Expert Member
- Jun 23, 2020
- 12,077
- 12,786
It's really terrible....havoc!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
USA ya Pale Arumeru Arusha au??? kama kitu hujui si muwe mnanyamaza tu kuliko kuja kujiaibisha humu😂😂😂USA wengi wanagoma kuchanjwa hizo ndizo habari lakini Watanzania wengi hawalifahamu hilo. Chanjo iwe ni hiari ya mtu kwa sababu chanjo zenyewe hazijathibitishwa kwamba ni bora na salama. Unachanjwa at your own risk.
🤣🤣🤣USA ya Pale Arumeru Arusha au??? kama kitu hujui si muwe mnanyamaza tu kuliko kuja kujiaibisha humu😂😂😂
Ndugu yangu sasa unamuona Makamba ndio wa maana kwa kutuletea utopolo wake hapa, kwani yeye anavyompinga Gwajima ndio nani? kwanini mapovu mengi kwa Gwaji boy, hawa mbona hawakusema huko nyuma au ndio wa kujipendekeza,Gwaji hapotoshi bali anatoa elimu kama wengine wanaotaka watu wachanjwe nao wanavyotoa elimu yao, tusitishane bana.Ndugu Gwajima ambaye anajiita Daktari (haijulikani ni Daktari wa nini na alisomea wapi), na ambaye mimi sitamuita Askofu , mbunge wa ccm wa jimbo la Kawe, jimbo ambalo rekodi ya kukamatwa kwa lundo la mabegi ya wizi wa kura yaliyolindwa na Lazaro Mambosasa, RPC aliyefurushwa haijavunjwa duniani, amejitokeza kupinga kijima Chanjo ya Corona bila hoja za msingi, sasa ameanza kupingwa na wanaccm wenzake.
Pia soma:
#COVID19 - Askofu Gwajima: Ni jambo baya sana kuwapa Chanjo ya Corona Wanajeshi, Polisi na watu wa Usalama
#COVID19 - Propaganda za Chanjo ya COVID-19: Askofu Gwajima apuuzwe
Aliyejitokeza kwa sasa bila kuogopa kulogwa ni January Makamba
View attachment 1868944
Makamba atuonyeshe, ni wapi Gwajima kasema serikali imeleta chanjo ili kuwadhuru raia wake.
Usitake kututisha na stori zako za Sam Nujoma kaugua CovidNyie endeleeni kudanganyana wenzenu wanachanjwa .... Siku ikiita kama ilivofanya India ndiyo akili itakuja.
Namibia nao walikuwa wabishi mpaka ilipohit ..... Rais na mkewe wakaumwa, Baba wa Taifa (Nujoma) akaumwa, Mawaziri na watu maarufu wakaondoka ... Watu wakafunguka macho!!
Huu ugonjwa kama haujaingia kwenye inner circle zako unaweza ukaupuuza but it's real.
Haya paka mvilainishi mungu wako mzungu anataka mzigoEti wazungu wanaionea wivu Tanzania!
Dah kuna baadhi ya wabongo wapumbavu sana. Hao wazungu hata kuchamba tu wamekufundisha wao wangetaka kukuua si wangetumia hata hizo pedi na madawa mengine ya misaada wanayotupa?
Mtalia sana chanjo zinakwenda ku expire hakuna mtz mwenye akili timamu atakaye poteza muda wake kuchanja bila ya sababu za msingi mm nasema watakao chanja tz hawawezi kuzidi 120000 tuMakamba yuko sahihi, huyu Gwajima ni mpotoshaji na hana uelewa wa mambo ila analazimisha maadam tu ana platform ya kuongelea apuuzwe, akemewe kama alivyofanya JM. Ila najua wachache watamkemea maana wanaogopa reaction yake.
wewe Makamba, huna ubavu wa kuongelea hili kwasababu hakuna unachojua. Unachokifahamu wewe ni siasa za ku distabilize underground. Unachokifanya hapa ni uanfiki. kila mtu anahaki ya kulilnda afya yake na kuwatahadharisha watu. Kama serikali inahakika na hii chanjo, kwa nini wanawasaiisha watu form ya kuwataka wabebe zigo lao kwamba yatakayowakuta baada ya kuchanjwa wasiihusishe wala kuilaum serikali?Ndugu Gwajima ambaye anajiita Daktari (haijulikani ni Daktari wa nini na alisomea wapi), na ambaye mimi sitamuita Askofu , mbunge wa ccm wa jimbo la Kawe, jimbo ambalo rekodi ya kukamatwa kwa lundo la mabegi ya wizi wa kura yaliyolindwa na Lazaro Mambosasa, RPC aliyefurushwa haijavunjwa duniani, amejitokeza kupinga kijima Chanjo ya Corona bila hoja za msingi, sasa ameanza kupingwa na wanaccm wenzake.
Pia soma:
#COVID19 - Askofu Gwajima: Ni jambo baya sana kuwapa Chanjo ya Corona Wanajeshi, Polisi na watu wa Usalama
#COVID19 - Propaganda za Chanjo ya COVID-19: Askofu Gwajima apuuzwe
Aliyejitokeza kwa sasa bila kuogopa kulogwa ni January Makamba
View attachment 1868944
wasanii wawili walikutana!"Nireteeni Gwajima" - Magufuli.
Kwa hiyo issue ya mwenyekiti wa Maisha wa saccos ndiyo imeisha hivyo?Ndugu Gwajima ambaye anajiita Daktari (haijulikani ni Daktari wa nini na alisomea wapi), na ambaye mimi sitamuita Askofu , mbunge wa ccm wa jimbo la Kawe, jimbo ambalo rekodi ya kukamatwa kwa lundo la mabegi ya wizi wa kura yaliyolindwa na Lazaro Mambosasa, RPC aliyefurushwa haijavunjwa duniani, amejitokeza kupinga kijima Chanjo ya Corona bila hoja za msingi, sasa ameanza kupingwa na wanaccm wenzake.
Pia soma:
#COVID19 - Askofu Gwajima: Ni jambo baya sana kuwapa Chanjo ya Corona Wanajeshi, Polisi na watu wa Usalama
#COVID19 - Propaganda za Chanjo ya COVID-19: Askofu Gwajima apuuzwe
Aliyejitokeza kwa sasa bila kuogopa kulogwa ni January Makamba
View attachment 1868944
utakula porojo zakoKwa hiyo issue ya mwenyekiti wa Maisha wa saccos ndiyo imeisha hivyo?
Ok, Subiri mpaka iingie kwenye inner circle yako ndiyo utajua what are we talking about .....!!Usitake kututisha na stori zako za Sam Nujoma kaugua Covid
Walishasema Tanzania tutadondoka kama kuku
Mpaka leo tunasubiri kudondoka kama kuku
Huyo Covid anachukua muda gani kufika Tanzania ???
Mzungu aki survive kwa chanjo si lazima na huku Afrika tuhitaji chanjo, kwa nini mmekuwa matopolo wa kusujudia kila cha Ulaya ?!?
Hata corona nayo inafanyiwa utafiti, lakini inakula vichwa sana! Dawa zote ni sumu, kutokana na matumizi! Mliambiwa mjifukize, sijui mle malimao na tangawizi, utafiti, hata wa hiyo Vodafasta, ulifanyika?!Kama chanjo zingekuwa salama, serikali isingejitenga na madhara yanayoweza kujitokeza. Hii chanjo ni ya Vodafasta. Bado upo kwenye utafiti na ndiyo maana inabidi utoe ridhaa ya kufanyiwa utafiti.
Mwenyekiti wa Maisha wa saccos anakula nini muda huu😁😁😁😁utakula porojo zako