Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Hawa ndio wanaoaminiwa na ccmHuyu alianza kwa kuutangazia Umma kuwa ana uwezo wa kufufua watu waliokuwa. Siku hizi hayo huwezi kuyasikia tena.
Sasa wanatafuta mkakati wa kuaminiwa tena. Hata hivyo Mimi najiuliza kauli zake hizo si miongoni mwa Chokochoko ????????
Kumbe ndio walewakle wapumbavu. Gomeni kupeleka watoto wenu clinik kwenye chanjo, utakuta jitu lina ukimwi linatumia ARV bado linajifanya kuponda chanjo?NENDA KACHANJE UFE UKIWA SIO BINADAMU GWAJIMA KATOA PIGO MOJA TU VIBALAKA MNAANZA KUJITOKEZA SHIMONI ACHA INYESHE TUJUE PANAPOVUJA
Bahati mbaya au nzuri gwajima ana ushawishi kwa raia zaidi ya hao wanaomponda..Ndugu Gwajima ambaye anajiita Daktari ( haijulikani ni Daktari wa nini na alisomea wapi ) , na ambaye mimi sitamuita Askofu , mbunge wa ccm wa jimbo la Kawe , jimbo ambalo rekodi ya kukamatwa kwa lundo la mabegi ya wizi wa kura yaliyolindwa na Lazaro Mambosasa , RPC aliyefurushwa haijavunjwa duniani , amejitokeza kupinga kijima Chanjo ya Corona bila hoja za msingi , sasa ameanza kupingwa na wanaccm wenzake.
Pia soma
#COVID19 - Askofu Gwajima: Ni jambo baya sana kuwapa Chanjo ya Corona Wanajeshi, Polisi na watu wa Usalama
#COVID19 - Propaganda za Chanjo ya COVID-19: Askofu Gwajima apuuzwe
Aliyejitokeza kwa sasa bila kuogopa kulogwa ni January Makamba
View attachment 1868898
Tuwe wakweli kwenye hili. Polisi au chombo cha dola chenye mamlaka kilipaswa IMMEDIATELY kumkamata na kumhoji huyu FAKE PASTOR Gwajima. Ametoa tuhuma nzito kuhusu watu walioruhusu chanjo ziingie Tanzania kuwa wanahongwa au na Bill Gates au na wazakishaji wa chanjo wa Marekani.Ndugu Gwajima ambaye anajiita Daktari ( haijulikani ni Daktari wa nini na alisomea wapi ) , na ambaye mimi sitamuita Askofu , mbunge wa ccm wa jimbo la Kawe , jimbo ambalo rekodi ya kukamatwa kwa lundo la mabegi ya wizi wa kura yaliyolindwa na Lazaro Mambosasa , RPC aliyefurushwa haijavunjwa duniani , amejitokeza kupinga kijima Chanjo ya Corona bila hoja za msingi , sasa ameanza kupingwa na wanaccm wenzake.
Pia soma
#COVID19 - Askofu Gwajima: Ni jambo baya sana kuwapa Chanjo ya Corona Wanajeshi, Polisi na watu wa Usalama
#COVID19 - Propaganda za Chanjo ya COVID-19: Askofu Gwajima apuuzwe
Aliyejitokeza kwa sasa bila kuogopa kulogwa ni January Makamba
View attachment 1868898