January Makamba kumrithi Majaliwa

January Makamba kumrithi Majaliwa

saidoo25

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2022
Posts
624
Reaction score
1,456
Waziri wa Nishati, Januari Makamba ametajwa na gazeti la Raia Mwema kuwa anapigiwa chapuo la kupewa nafasi ya Waziri Mkuu inayoshikiliwa na Kassim Majaliwa.

Kama watanzania tunadhani ni viongozi gani zaidi ya Makamba wanazosifa za kuwa Waziri Mkuu?
 
Attachments

  • 20220910_133723.jpg
    20220910_133723.jpg
    101.2 KB · Views: 12
Inawezekana hiyo ndio sababu inayomfanya huyo jamaa siku hizi awe na kiburi kupitiliza, majibu ya hovyo; labda ameshajua kuna nafasi kubwa zaidi kwake inamsogelea.

Inawezekana pia, kwasababu zamu ya mgombea urais Tanzania kupitia CCM 2030 itakuwa ni mkristu, wameona wampoze na huo uwaziri mkuu mapema.

Kama ndio hivyo, namuona Mwigulu akiongeza kasi ya kutupiga kwenye tozo, yeye ndie atabakia kama mgombea mwenye uchu zaidi, japo kuwa na uchu kwa CCM sio vizuri, wanaweza kumfanya kile walichomfanya Lowassa.
 
Inawezekana pia, kwasababu zamu ya mgombea urais Tanzania kupitia CCM 2025 itakuwa ni mkristu, wameona wampoze na huo uwaziri mkuu mapema.

Kama ndio hivyo, namuona Mwigulu akiongeza kasi ya kutupiga kwenye tozo, yeye ndie atabakia kama mgombea mwenye uchu zaidi, japo kuwa na uchu kwa CCM sio vizuri, wanaweza kumfanya kile walichomfanya Lowassa.
Kwahiyo kumbe Dini siku hizi ni kigezo cha mgombea wa uraisi?!

Hii inchi ina raia takataka sana aisee.....
 
Waziri wa Nishati, Januari Makamba ametajwa na gazeti la Raia Mwema kuwa anapigiwa chapuo la kupewa nafasi ya Waziri Mkuu inayoshikiliwa na Kassim Majaliwa.

Kama watanzania tunadhani ni viongozi gani zaidi ya Makamba wanazosifa za kuwa Waziri Mkuu
Anagombea uKassimu kupitia chama gani
 
Ngoja tusikie matokeo ya sensa kwanza ili tujue jumla tuko wangapi kwenye hili li-ardhi, kisha ndo mtuambie kama REJECT ndio itaendelea kuwa bora zaidi umma uliopo kiasi cha kushindwa kutoa Intellectuals wa kubeba maono ya nchi katika nafasi kubwa kama hizo.

Ukianzia muonekano, wala huna haja ya kusubiri afungue mdomo ujue amejaza nini kwenye fuvu lake, ya nini KUJITESA?
 
Waziri wa Nishati, Januari Makamba ametajwa na gazeti la Raia Mwema kuwa anapigiwa chapuo la kupewa nafasi ya Waziri Mkuu inayoshikiliwa na Kassim Majaliwa.

Kama watanzania tunadhani ni viongozi gani zaidi ya Makamba wanazosifa za kuwa Waziri Mkuu
Tusubiri 2025 Muda utaamua
 
Kwahiyo kumbe Dini siku hizi ni kigezo cha mgombea wa uraisi?!

Hii inchi ina raia takataka sana aisee.....
Ni nchi, sio inchi, unaonekana una ujinga mwingi sana kichwani.

Halafu kwenye maelezo yangu hamna nilipoandika neno "kigezo", hilo umejitungia mwenyewe, ukajiuliza swali, ukajijibu.

Watu wana taratibu zao, badala ya kuropoka kama chizi, kaa chini tazama kila baada ya mihula miwili ya Rais aliyepo madarakani kwisha, Rais anayefuata huwa wa dini tofauti na yule aliyemaliza muda wake.
 
Waziri wa Nishati, Januari Makamba ametajwa na gazeti la Raia Mwema kuwa anapigiwa chapuo la kupewa nafasi ya Waziri Mkuu inayoshikiliwa na Kassim Majaliwa.

Kama watanzania tunadhani ni viongozi gani zaidi ya Makamba wanazosifa za kuwa Waziri Mkuu
Tujadili maendeleo ya nchi.

Vyeo waachie huko gizani warogane wapunguzane ili nchi ipumue
 
Waziri wa Nishati, Januari Makamba ametajwa na gazeti la Raia Mwema kuwa anapigiwa chapuo la kupewa nafasi ya Waziri Mkuu inayoshikiliwa na Kassim Majaliwa.

Kama watanzania tunadhani ni viongozi gani zaidi ya Makamba wanazosifa za kuwa Waziri Mkuu
Na Majaliwa anaenda wapi? Atastaafishwa kwa manufaa ya umma?
 
Sijui Kama January ataridhika au kunyamazishwa kwa uwaziri Mkuu. Yule anajiona ndiye Rais bora ktk Tanzania hii kabla yake na baada yake. Anajiskia Sana huyu.
 
Waziri wa Nishati, Januari Makamba ametajwa na gazeti la Raia Mwema kuwa anapigiwa chapuo la kupewa nafasi ya Waziri Mkuu inayoshikiliwa na Kassim Majaliwa.

Kama watanzania tunadhani ni viongozi gani zaidi ya Makamba wanazosifa za kuwa Waziri Mkuu?
Hana sifa
 
Inawezekana hiyo ndio sababu inayomfanya huyo jamaa siku hizi awe na kiburi kupitiliza, majibu ya hovyo; labda ameshajua kuna nafasi kubwa zaidi kwake inamsogelea.

Inawezekana pia, kwasababu zamu ya mgombea urais Tanzania kupitia CCM 2030 itakuwa ni mkristu, wameona wampoze na huo uwaziri mkuu mapema.

Kama ndio hivyo, namuona Mwigulu akiongeza kasi ya kutupiga kwenye tozo, yeye ndie atabakia kama mgombea mwenye uchu zaidi, japo kuwa na uchu kwa CCM sio vizuri, wanaweza kumfanya kile walichomfanya Lowassa.

Ndugu Dini sio kigezo cha mtu kuwa Raisi, Mkapa alikuwa Raisi Na Waziri mkuu alikuwa Sumaye wote wakristo na WAKATOLIKI, na nchi ilienda vizuri
 
Back
Top Bottom