January Makamba kumrithi Majaliwa

January Makamba kumrithi Majaliwa

Waziri wa Nishati, Januari Makamba ametajwa na gazeti la Raia Mwema kuwa anapigiwa chapuo la kupewa nafasi ya Waziri Mkuu inayoshikiliwa na Kassim Majaliwa.

Kama watanzania tunadhani ni viongozi gani zaidi ya Makamba wanazosifa za kuwa Waziri Mkuu?
KASHINDWA KUONGOZA WIZARA MOJA ITAKUWAJE KUZISIMAMIA WIZARA ZOTE?NCHI HII INACHEZEWA SANA
 
Ni nchi, sio inchi, unaonekana una ujinga mwingi sana kichwani.

Halafu kwenye maelezo yangu hamna nilipoandika neno "kigezo", hilo umejitungia mwenyewe, ukajiuliza swali, ukajijibu.

Watu wana taratibu zao, badala ya kuropoka kama chizi, kaa chini tazama kila baada ya mihula miwili ya Rais aliyepo madarakani kwisha, Rais anayefuata huwa wa dini tofauti na yule aliyemaliza muda wake.
Muambie Huyo bwege kua Kuna written and unwritten codes
Halafu hizi tabia za kinafki kujifanya kukataa mambo yanayotendeka kua hayapo ndio yanatufanya tusiendelee
Yaani watu wanajifanya kua ile trend ya anatoka Rais mkristo na waziri mkuu muislamu anaingia Rais muislamu na waziri mkuu mkristo Eti ni coincidence
Pumbavu kabisa
 
Kwani uwaziri mkuu una ukomo kikatiba?

Kama upo basi hapa kuna kosa la kikatiba. Sioni sababu kwann waziri mkuu awe na ukomo.
 
Back
Top Bottom