Kwahiyo kumbe Dini siku hizi ni kigezo cha mgombea wa uraisi?!Inawezekana hiyo ndio sababu inayomfanya huyo jamaa siku hizi awe na kiburi kupitiliza, majibu ya hovyo; labda ameshajua kuna nafasi kubwa zaidi kwake inamsogelea.
Inawezekana pia, kwasababu zamu ya mgombea urais Tanzania kupitia CCM 2025 itakuwa ni mkristu, wameona wampoze na huo uwaziri mkuu mapema.
Kama ndio hivyo, namuona Mwigulu akiongeza kasi ya kutupiga kwenye tozo, yeye ndie atabakia kama mgombea mwenye uchu zaidi, japo kuwa na uchu kwa CCM sio vizuri, wanaweza kumfanya kile walichomfanya Lowassa.
Anagombea uKassimu kupitia chama ganiWaziri wa Nishati, Januari Makamba ametajwa na gazeti la Raia Mwema kuwa anapigiwa chapuo la kupewa nafasi ya Waziri Mkuu inayoshikiliwa na Kassim Majaliwa.
Kama watanzania tunadhani ni viongozi gani zaidi ya Makamba wanazosifa za kuwa Waziri Mkuu
Tusubiri 2025 Muda utaamuaWaziri wa Nishati, Januari Makamba ametajwa na gazeti la Raia Mwema kuwa anapigiwa chapuo la kupewa nafasi ya Waziri Mkuu inayoshikiliwa na Kassim Majaliwa.
Kama watanzania tunadhani ni viongozi gani zaidi ya Makamba wanazosifa za kuwa Waziri Mkuu
Ni nchi, sio inchi, unaonekana una ujinga mwingi sana kichwani.Kwahiyo kumbe Dini siku hizi ni kigezo cha mgombea wa uraisi?!
Hii inchi ina raia takataka sana aisee.....
Tujadili maendeleo ya nchi.Waziri wa Nishati, Januari Makamba ametajwa na gazeti la Raia Mwema kuwa anapigiwa chapuo la kupewa nafasi ya Waziri Mkuu inayoshikiliwa na Kassim Majaliwa.
Kama watanzania tunadhani ni viongozi gani zaidi ya Makamba wanazosifa za kuwa Waziri Mkuu
Na Majaliwa anaenda wapi? Atastaafishwa kwa manufaa ya umma?Waziri wa Nishati, Januari Makamba ametajwa na gazeti la Raia Mwema kuwa anapigiwa chapuo la kupewa nafasi ya Waziri Mkuu inayoshikiliwa na Kassim Majaliwa.
Kama watanzania tunadhani ni viongozi gani zaidi ya Makamba wanazosifa za kuwa Waziri Mkuu
Sisi kwenye chama chetu hatuangalii sifa,ili mladi uwe umetoka familia ya kigogo wa chamaMajaliwa anafaa sana kwenye hiyo nafasi japo William Lukuvi anafaa zaidi. January Makamba hawezi kuwa waziri mkuu mwenye sifa
Hana sifaWaziri wa Nishati, Januari Makamba ametajwa na gazeti la Raia Mwema kuwa anapigiwa chapuo la kupewa nafasi ya Waziri Mkuu inayoshikiliwa na Kassim Majaliwa.
Kama watanzania tunadhani ni viongozi gani zaidi ya Makamba wanazosifa za kuwa Waziri Mkuu?
Inawezekana hiyo ndio sababu inayomfanya huyo jamaa siku hizi awe na kiburi kupitiliza, majibu ya hovyo; labda ameshajua kuna nafasi kubwa zaidi kwake inamsogelea.
Inawezekana pia, kwasababu zamu ya mgombea urais Tanzania kupitia CCM 2030 itakuwa ni mkristu, wameona wampoze na huo uwaziri mkuu mapema.