Freed Freed
JF-Expert Member
- Jun 27, 2017
- 6,547
- 7,167
Habari kutoka ndani ya CCM ni kuwa Familia ya Makamba imemalizana na Rais Samia.
Makubaliano ni kuwa Mama Samia hakutaka Makamba arejeshewe Uwaziri kama walivyotaka.
Baada ya Maongezi ya muda mrefu Mheshimiwa Rais kwa kuiheshimu familia hiyo, ameahidi kufanya mpango kwa kufuata taratibu za chama ili January Makamba awe Makamu mwenyekiti wa Chama bara.
Suala hili litawekwa wazi mapema mwezi February.
MREJESHO: Baada ya CCM kuiona habari hii iliyovuja wameamua kukurupuka na kuwahisha mchakato tarehe 16, 17 na hitimisho ni 19 January. Imethibitika pasipo na shaka kuwa AGREY MWANDRI ndiye atakayekuwa Makamu mwenyekiti bara. Naona Chama kimebadili GIA ANGANI. Lengo kuu kuuzia Mvumo wa Chadema.