Tetesi: January Makamba kuwa Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara

Habari kutoka ndani ya CCM ni kuwa Familia ya Makamba imemalizana na Rais Samia.

Makubaliano ni kuwa Mama Samia hakutaka Makamba arejeshewe Uwaziri kama walivyotaka.

Baada ya Maongezi ya muda mrefu Mheshimiwa Rais kwa kuiheshimu familia hiyo, ameahidi kufanya mpango kwa kufuata taratibu za chama ili January Makamba awe Makamu mwenyekiti wa Chama bara.

Suala hili litawekwa wazi mapema mwezi February.
sasa na sisi wengine tutamfikia vipi rais maana nina jambo langu...
japo katibu tarafa basi..
 
Habari kutoka ndani ya CCM ni kuwa Familia ya Makamba imemalizana na Rais Samia.

Makubaliano ni kuwa Mama Samia hakutaka Makamba arejeshewe Uwaziri kama walivyotaka.

Baada ya Maongezi ya muda mrefu Mheshimiwa Rais kwa kuiheshimu familia hiyo, ameahidi kufanya mpango kwa kufuata taratibu za chama ili January Makamba awe Makamu mwenyekiti wa Chama bara.

Suala hili litawekwa wazi mapema mwezi February.
Tangu kabendera aachwe aropoke sasa kila mtu ataropoka
 
Samia amejenga uadui mkubwa na watu wa Tanga sijui wamedhulumiana nini,ukiaanzia former DGSI,Ummy Mwalimu na January.
Kuna uzi humu imeeleza kinaga ubaga hilo suala kama siyo Mzee wa Migebuka leo tungekuwa tunazungumza jambo lingine kabisaaaa kumbuka hao ndiyo waliomponza Daa Zuu kutoka kwenye kipaza hadi kufichwa uko katika Wing ya PM.
 
Habari kutoka ndani ya CCM ni kuwa Familia ya Makamba imemalizana na Rais Samia.

Makubaliano ni kuwa Mama Samia hakutaka Makamba arejeshewe Uwaziri kama walivyotaka.

Baada ya Maongezi ya muda mrefu Mheshimiwa Rais kwa kuiheshimu familia hiyo, ameahidi kufanya mpango kwa kufuata taratibu za chama ili January Makamba awe Makamu mwenyekiti wa Chama bara.

Suala hili litawekwa wazi mapema mwezi February.
"Nepotism is a big enemy of development"
 
Back
Top Bottom