Khanji kapoor
JF-Expert Member
- Oct 19, 2024
- 1,198
- 2,695
Kweli ccm inakufa hadi fisadi linafikiriwa kuongoza chams 🤣🤣🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tupo na tundu lisu ndiyo habari ya mjiniHabari kutoka ndani ya CCM ni kuwa Familia ya Makamba imemalizana na Rais Samia.
Makubaliano ni kuwa Mama Samia hakutaka Makamba arejeshewe Uwaziri kama walivyotaka.
Baada ya Maongezi ya muda mrefu Mheshimiwa Rais kwa kuiheshimu familia hiyo, ameahidi kufanya mpango kwa kufuata taratibu za chama ili January Makamba awe Makamu mwenyekiti wa Chama bara.
Suala hili litawekwa wazi mapema mwezi February.
hauko siriaz,mimi nazungumzia inakuwaje familia ya makamba iingilie mifumo ya maamuzi na sio kutaka waziri Fulani aondoleweYani huwezi kuamini. Sijui walitaka waziri yupi atumbuliwe.
Sisi hatuangalii uislam au ukristo, kwenye kuongoza dini haina mantiki yoyote mkuu,akiwa mkristo we unanufaikajeKwahiyo nchi iongozwe na waislamu tuu? haiwezekani
Na Hapo Ndio CCm itakapo anguka maana itakuwa gombania goli.Na January ndiye mgombea wa CCM baada ya "mambo kuharibika sana".
Mkuu wewe haushindi Jf unajuaje wanaoshinda Jf? Kwani mkuu watu walio huko ndani ya mfumo huwa hawashindi Jf? Haujui kama Jf ni mtandao ambao unafuatiliwa kwa karibu sana na syteam ya nchi za afrika mashariki,kwaiyo wapo majasusi pia wameajiriwa kazi yao kubwa kushinda Jf kufuatilia habari na matukio,Jikoni afu unashinda jf kila muda?
Weka ufisadi wa January makamba hapa!Kweli ccm inakufa hadi fisadi linafikiriwa kuongoza chams 🤣🤣🤣
Mwenzako anajua yeye ni chaguo la Watanzania kupitia mfumo wizi wa kura😅labda urais wa kufosi, hana haiba ya kuwa rais wa tanzania
Hii Nchi bana, bomu kweli. Yaani Familia ya Makamba ina hisa CCM!!?????Habari kutoka ndani ya CCM ni kuwa Familia ya Makamba imemalizana na Rais Samia.
Makubaliano ni kuwa Mama Samia hakutaka Makamba arejeshewe Uwaziri kama walivyotaka.
Baada ya Maongezi ya muda mrefu Mheshimiwa Rais kwa kuiheshimu familia hiyo, ameahidi kufanya mpango kwa kufuata taratibu za chama ili January Makamba awe Makamu mwenyekiti wa Chama bara.
Suala hili litawekwa wazi mapema mwezi February.
Hiyo ndiyo CCM.Kwahiyo vyeo wanapeana baada ya majadiliano ya kifamilia na sio competency ya mhusika.
Tumekwisha.Habari kutoka ndani ya CCM ni kuwa Familia ya Makamba imemalizana na Rais Samia.
Makubaliano ni kuwa Mama Samia hakutaka Makamba arejeshewe Uwaziri kama walivyotaka.
Baada ya Maongezi ya muda mrefu Mheshimiwa Rais kwa kuiheshimu familia hiyo, ameahidi kufanya mpango kwa kufuata taratibu za chama ili January Makamba awe Makamu mwenyekiti wa Chama bara.
Suala hili litawekwa wazi mapema mwezi February.
hehe hehheNa January ndiye mgombea wa CCM baada ya "mambo kuharibika sana".
Uchaguzi sidhani kama utafanyikaMacho ya waTZ kwa sasa yapo kwa Tundu Lissu✅
AshakubaliJanuary sio mtu wa kukaa nae karibu, atamharibia sana Mh. Rais wetu, hilo CCM watamshauri Mh. Rais asikubali katu katu.
Eeh Ngoma inaendelea hapa dunia ya Tanzania.Habari kutoka ndani ya CCM ni kuwa Familia ya Makamba imemalizana na Rais Samia.
Makubaliano ni kuwa Mama Samia hakutaka Makamba arejeshewe Uwaziri kama walivyotaka.
Baada ya Maongezi ya muda mrefu Mheshimiwa Rais kwa kuiheshimu familia hiyo, ameahidi kufanya mpango kwa kufuata taratibu za chama ili January Makamba awe Makamu mwenyekiti wa Chama bara.
Suala hili litawekwa wazi mapema mwezi February.
Hivi yaweza kuwa yameshaharibika sana kama alivyosema mzee wetu !Na January ndiye mgombea wa CCM baada ya "mambo kuharibika sana".
Kama familia siyo ya kawaida si ndio apewe anachokitaka?? Kipi kinazuia?Kwa taarifa yako hiyo familia sio ya kawaida.
Looh ! Utabiri wa shehe yule kwenye 2006 ulitimia 75 asilimia Hadi sasa. Na iwapo MAMBO yakiendelea hivyo, basi hivi punde utasoma Ile 25 asilimia iliyobaki.January ndio Rais wa baadae baada ya Ridhiwani kikwete, hiyo nafasi inamfaa ili kukijenga chama zaidi.... Acha tuwape nchi vijana pia baada ya Samia akimaliza....povu Ruksa.