Tetesi: January Makamba kuwa Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara

Habari kutoka ndani ya CCM ni kuwa Familia ya Makamba imemalizana na Rais Samia.

Makubaliano ni kuwa Mama Samia hakutaka Makamba arejeshewe Uwaziri kama walivyotaka.

Baada ya Maongezi ya muda mrefu Mheshimiwa Rais kwa kuiheshimu familia hiyo, ameahidi kufanya mpango kwa kufuata taratibu za chama ili January Makamba awe Makamu mwenyekiti wa Chama bara.

Suala hili litawekwa wazi mapema mwezi February.
Na Nape apelekwe Nishati ! Au ?!
🤣👍
 
Kama ni hivyo basi chadema wamekomaa sana kisiasa maana tunawaona jinsi walivyo transparent kwenye kuchagua viongozi wao wa kitaifa.sasa hao ccm kumbe viongozi wao wanapatikana baada ya majadiliano ya familia mbili tu?pathetic
wamesema nafasi hiyo haigombewi. Chadema wako next level wafanye tu uchaguzi wao kwa amani na uwazi ccm ikajifunze huko
 
Habari kutoka ndani ya CCM ni kuwa Familia ya Makamba imemalizana na Rais Samia.

Makubaliano ni kuwa Mama Samia hakutaka Makamba arejeshewe Uwaziri kama walivyotaka.

Baada ya Maongezi ya muda mrefu Mheshimiwa Rais kwa kuiheshimu familia hiyo, ameahidi kufanya mpango kwa kufuata taratibu za chama ili January Makamba awe Makamu mwenyekiti wa Chama bara.

Suala hili litawekwa wazi mapema mwezi February.
Atagombea na Urais 2025?
 
Back
Top Bottom