Tetesi: January Makamba kuwa Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara

January ndio Rais wa baadae baada ya Ridhiwani kikwete, hiyo nafasi inamfaa ili kukijenga chama zaidi.... Acha tuwape nchi vijana pia baada ya Samia akimaliza....povu Ruksa.
Huyo February ana umri gani mpaka unamuita kijana?
 
Habari kutoka ndani ya CCM ni kuwa Familia ya Makamba imemalizana na Rais Samia.

Makubaliano ni kuwa Mama Samia hakutaka Makamba arejeshewe Uwaziri kama walivyotaka.

Baada ya Maongezi ya muda mrefu Mheshimiwa Rais kwa kuiheshimu familia hiyo, ameahidi kufanya mpango kwa kufuata taratibu za chama ili January Makamba awe Makamu mwenyekiti wa Chama bara.

Suala hili litawekwa wazi mapema mwezi February.
Yaani Chadema wanagombea eti chama wanachaguana kifamilia na watu wanashabikia!
 
Habari kutoka ndani ya CCM ni kuwa Familia ya Makamba imemalizana na Rais Samia.

Makubaliano ni kuwa Mama Samia hakutaka Makamba arejeshewe Uwaziri kama walivyotaka.

Baada ya Maongezi ya muda mrefu Mheshimiwa Rais kwa kuiheshimu familia hiyo, ameahidi kufanya mpango kwa kufuata taratibu za chama ili January Makamba awe Makamu mwenyekiti wa Chama bara.

Suala hili litawekwa wazi mapema mwezi February.
Hizi tetesi ni tuu machi izi hamfuli
 
Attachments

  • Screenshot_20250108_184917.jpg
    Screenshot_20250108_184917.jpg
    210.1 KB · Views: 5
Habari kutoka ndani ya CCM ni kuwa Familia ya Makamba imemalizana na Rais Samia.

Makubaliano ni kuwa Mama Samia hakutaka Makamba arejeshewe Uwaziri kama walivyotaka.

Baada ya Maongezi ya muda mrefu Mheshimiwa Rais kwa kuiheshimu familia hiyo, ameahidi kufanya mpango kwa kufuata taratibu za chama ili January Makamba awe Makamu mwenyekiti wa Chama bara.

Suala hili litawekwa wazi mapema mwezi February.
Umeingia chaka. Makamu Mwenyekiti wa CCM anapatikana tarehe 17-18 Janauari baada ya Kikao kijacho.

Wala hawezi kuwa Januari Makamba kwa kuwa hana sifa hizo zinazotakiwa. Makamu Mwenyekiti anapaswa kuwa ni mtu asiye na tamaa ya kuwa Rais ajaye
 
Hii habari imekuja lini? Unajua kwanini CCM wamekuja baada ya habari hii?
 
Hizi habar ni za kweli kabisa kutoka ndani ya vikao vya chama ila wahuni wameamua kuzivujisha Ili kumuharibia Makamba.

CCM Ndani Kunafuka moshi.
 
Niliona huu ni mwaka mgumu sana kwa kaka yake na Februari kwenye harakati za kutafuta uongozi pia ni mwaka wa kuomboleza kwake,
Mwenzake mzee wa kibri na Jeuri wa goal la mkono ni mwaka wa kurudi tena serikali,
Hata G Boy Mlawi mkono wa bausa ni mwaka mgumu kiasa kama ilivyo kwa kakiye Februari.

Ili kakiye February arudi serikali kwa mwaka huu atumie nguvu za kijeshi.
Ilisika Nabii wa ishara Tanzania akitoa unabii kwa mwaka 2025,
February ni nani?
 
Watu wanazipenda sana hizi draft
Mimi siijawahi kuwa mshabiki wa draft.
Zamani tulikuwa tunacjeza karata. Arba stini.
Nyumbani kwetu tulikuwa tunacgeza karata.
Mwalimu alikuwa anapenda sana kucheza karata.
Siku zile Tanganyika) Tanzania mxhezi wa karata ulikuwa anuwai( universal).
Halafu mchezonukiisha Mwalimu anasema,"Lakini pale,kama wewe ungecheza karata hii,yule angecheza karata hii,na mimi ningecheza karata hii, halafu huu mchezo tungeshinda "
Sasa nataka nianze tena kucheza karata.
Hizi karata siyo kabisa yunavyozifikiria. Hizi karata ni kama Tarot.
 
Back
Top Bottom