milele amina
JF-Expert Member
- Aug 16, 2024
- 6,045
- 8,080
Habari kutoka ndani ya CCM ni kuwa Familia ya Makamba imemalizana na Rais Samia.
Makubaliano ni kuwa Mama Samia hakutaka Makamba arejeshewe Uwaziri kama walivyotaka.
Baada ya Maongezi ya muda mrefu Mheshimiwa Rais kwa kuiheshimu familia hiyo, ameahidi kufanya mpango kwa kufuata taratibu za chama ili January Makamba awe Makamu mwenyekiti wa Chama bara.
Suala hili litawekwa wazi mapema mwezi February.