Tetesi: January Makamba kuwa Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara

Tetesi: January Makamba kuwa Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara

Makamba amepevuka anaimudu hiyo nafasi sio mawenge kama toto TUNDU lisusu
 
Makamba hata kulitamka jina la Samia amekuwa km mtoto aliyemeza uji wa moto.. safari hii amekopa kausha damu..
 
January ndio Rais wa baadae baada ya Ridhiwani kikwete, hiyo nafasi inamfaa ili kukijenga chama zaidi.... Acha tuwape nchi vijana pia baada ya Samia akimaliza....povu Ruksa.
Mkuu labd rais wa vijana Tanzania
 
Habari kutoka ndani ya CCM ni kuwa Familia ya Makamba imemalizana na Rais Samia.

Makubaliano ni kuwa Mama Samia hakutaka Makamba arejeshewe Uwaziri kama walivyotaka.

Baada ya Maongezi ya muda mrefu Mheshimiwa Rais kwa kuiheshimu familia hiyo, ameahidi kufanya mpango kwa kufuata taratibu za chama ili January Makamba awe Makamu mwenyekiti wa Chama bara.

Suala hili litawekwa wazi mapema mwezi February.


MREJESHO: Baada ya CCM kuiona habari hii iliyovuja wameamua kukurupuka na kuwahisha mchakato tarehe 16, 17 na hitimisho ni 19 January. Imethibitika pasipo na shaka kuwa AGREY MWANDRI ndiye atakayekuwa Makamu mwenyekiti bara. Naona Chama kimebadili GIA ANGANI.
Mizengo pinda ndiye atakuwa makamu mwenyekiti wa ccm
 
Sasa ni pinda vs makamba
Mizimu ya sumbawanga vs mizimu ya Tanga
 
Natamani Makamu Mwenyekiti wa CCM awe Dkt YAHAYA NAWANDA, Mungu saidia Duwa langu ama ndoto yangu hii ikawe kweli
 
Back
Top Bottom