Song of Solomon
JF-Expert Member
- Aug 5, 2021
- 2,752
- 5,609
Mzee makamba kajibu kitaahira sanaBaba yake ulimsikia lakini alivyokuwa anamtetea mtoto wake kwa yule mwandishi wa habari mchokozi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mzee makamba kajibu kitaahira sanaBaba yake ulimsikia lakini alivyokuwa anamtetea mtoto wake kwa yule mwandishi wa habari mchokozi?
Lakini kaka braza,, hii bureaucracy ya michakato ndo inachelewesha mambo,, watu wanataka umeme, sio mchakato,, serikali haiwezi kila ikitaka kununua kitu, ipite nyumba hadi nyumba kukusanha maoni,, huo utakua ufala😁Hapa JPM kaingia vipi?
Mchakato wa kununua jenerator la Mw 20 unaufahamu? Tujuze. Hii ni pesa ya umma inatakiwa iwekwe wazi.
Miaka mitano ya hayati tulisahau mgao. Huu umetoka wapi?
Mbona umeandika kwa hasira sana na chuki dhidi ya mtoa mada? Tulia kidogo mwana CCM mwenzangu. Lamba kidogo asali... Huna. Lamba basi hata sukari. Haya mjadiliane kwa upole na upendo sisi sote ni watanzania. WALAMBA ASALI VS WALAMBA SHUBIRIUngetumia akili yako ndogo uliyo nayo ya kwendea chooni usingeandika ujinga huu.
Hebu fafanua wanahujumu vipi taifa? Usiandike ujinga wa vijiweni humu kwenye jukwaa muhimu. Nenda kaandike Facebook utumbo huu
Niliishia la nne C,,Ulimaliza la saba?
Kabisa sheikh tusiache hawa jamaa wamchafue mtu wetu.... Ni kupambana nao mwanzo mwisho kwa lolote lile. Tumlinde na mama pia tumlinde.Mkuu hebu tufafanulie basi, namna wanavyohujumu😆
Sasa mkuu kazi ya kulinda watu wazima siwezi,, labda iwe kazi ya kulipwa,, mimi hapa silindi mtu,,naongelea uhalisia tu😆Kabisa sheikh tusiache hawa jamaa wamchafue mtu wetu.... Ni kupambana nao mwanzo mwisho kwa lolote lile. Tumlinde na mama pia tumlinde.
Daaaah... Namaanisha wanapochafuliwa mitandaoni. Kuna watu wanawachafua sheikh tusiwaache hao. Malipo yapo.....Sasa mkuu kazi ya kulinda watu wazima siwezi,, labda iwe kazi ya kulipwa,, mimi hapa silindi mtu,,naongelea uhalisia tu😆
Aisee nchi ngumu hii!!! By the way nje ya mada, Ile issue ya mkoa wa Chato uliyoishikia bango kipindi Cha nyuma imeifikia wapi?Unapoleta tuhuma bila ya ushahidi kwa kigezo cha uhuru wako wa maoni kumbuka kuwa unaliweka hili jukwaa la JF matatani. Linaonekana ni jukwaa la tuhuma zisizo na ushahidi, kisa tu ni chuki zako zisizo na kichwa wala miguu.
Kisa tu ni ufuasi wako kwa JPM unaokufanya uwe kama kipofu wa kiakili.
Dhuu, hakika tabia ya uchawa haikomi na haiwezi kumuacha mtu salama.Una uhakika na hizo habari juu ya ukweli wake au unadakia tu habari za chuki ya mitandaoni na kuzifanya ni za kweli?.
Ni sawa na ile habari ya Thuwein mdogo wake January ya kwamba analeta magenereta na meli ya MSC, upuuzi mtupu.
JPM ameshatangulia mbele za haki, huu ujinga wa kuanzisha uzi mkiwa na mawazo ya kuiponda awamu ya sita ni ya kitoto sana, hayawezi kuwasaidieni kwa namna yoyote ile.
Chawa kama lichawa kazini. Muache mwenzako atoe yakeUngetumia akili yako ndogo uliyo nayo ya kwendea chooni usingeandika ujinga huu.
Hebu fafanua wanahujumu vipi taifa? Usiandike ujinga wa vijiweni humu kwenye jukwaa muhimu. Nenda kaandike Facebook utumbo huu
Huo ndio ukweli halisi,ila humu mizigo yote anatwishwa Magufuli.Natoa wito kwa iwanaTanzania wote wanaopenda taifa lao kuwapeleka mahakamani hawa jamaa wawili.
Wamevunja na kukiuka ibara ya 27 ya katiba ya JMT inayotaka raia wote kulinda mali ya umma.
Wameharibu umeme makusudi ili wapige madili. Mbona hakuna uwazi juu ya jenerator lililonunuliwa toka USA?
Kenge Mk**du wewe! .Ina maana hauoni upumbavu unaoendelea au au unakaza Mk**duUngetumia akili yako ndogo uliyo nayo ya kwendea chooni usingeandika ujinga huu.
Hebu fafanua wanahujumu vipi taifa? Usiandike ujinga wa vijiweni humu kwenye jukwaa muhimu. Nenda kaandike Facebook utumbo huu
Huna uhakika na maandiahi yako? Kwahiyo umetoa tuhuma za kishenzi dhidi ya Makamba na Byabato?Unaweza kukuta jenereta ni la Mbowe ambaye yuko USA
Wewe kwenye familia yako umemaliza matatizo? mbona hauna shukrani?Foka kweli kweli!! 🗣️ Kile chuo ulijenga wewe na baba yako!!
Usukuma gang unakutesa Sana na bado utateseka Sana. Makamba is there to stay and jiwe is in hell devoured by the eternal fire.Hapa JPM kaingia vipi?
Mchakato wa kununua jenerator la Mw 20 unaufahamu? Tujuze. Hii ni pesa ya umma inatakiwa iwekwe wazi.
Miaka mitano ya hayati tulisahau mgao. Huu umetoka wapi?
Kuinunua jenereta kuna Shida gani?Huna uhakika na maandiahi yako? Kwahiyo umetoa tuhuma za kishenzi dhidi ya Makamba na Byabato?
Siku nyingine ukitaka kuingia JF hakikisha hujavuta bangi. Ukija umevuta bangi utaropoka ama kutukana.Kuinunua jenereta kuna Shida gani?
Usiwe mbwiga kama Tumbili
Mkuu mbona umekuwa mkali kama mzee makamba?Ungetumia akili yako ndogo uliyo nayo ya kwendea chooni usingeandika ujinga huu.
Hebu fafanua wanahujumu vipi taifa? Usiandike ujinga wa vijiweni humu kwenye jukwaa muhimu. Nenda kaandike Facebook utumbo huu
Sawa bwasheeSiku nyingine ukitaka kuingia JF hakikisha hujavuta bangi. Ukija umevuta bangi utaropoka ama kutukana.