January Makamba na Byabato washitakiwe kwa kulihujumu taifa kwa kutengeneza mgao wa umeme. Uwazi uwekwe juu ya generator walilonunua toka USA

Hapa JPM kaingia vipi?
Mchakato wa kununua jenerator la Mw 20 unaufahamu? Tujuze. Hii ni pesa ya umma inatakiwa iwekwe wazi.

Miaka mitano ya hayati tulisahau mgao. Huu umetoka wapi?
Lakini kaka braza,, hii bureaucracy ya michakato ndo inachelewesha mambo,, watu wanataka umeme, sio mchakato,, serikali haiwezi kila ikitaka kununua kitu, ipite nyumba hadi nyumba kukusanha maoni,, huo utakua ufala😁
 
Ungetumia akili yako ndogo uliyo nayo ya kwendea chooni usingeandika ujinga huu.

Hebu fafanua wanahujumu vipi taifa? Usiandike ujinga wa vijiweni humu kwenye jukwaa muhimu. Nenda kaandike Facebook utumbo huu
Mbona umeandika kwa hasira sana na chuki dhidi ya mtoa mada? Tulia kidogo mwana CCM mwenzangu. Lamba kidogo asali... Huna. Lamba basi hata sukari. Haya mjadiliane kwa upole na upendo sisi sote ni watanzania. WALAMBA ASALI VS WALAMBA SHUBIRI
 
Mkuu hebu tufafanulie basi, namna wanavyohujumu😆
Kabisa sheikh tusiache hawa jamaa wamchafue mtu wetu.... Ni kupambana nao mwanzo mwisho kwa lolote lile. Tumlinde na mama pia tumlinde.
 
Sasa mkuu kazi ya kulinda watu wazima siwezi,, labda iwe kazi ya kulipwa,, mimi hapa silindi mtu,,naongelea uhalisia tu😆
 
Daaaah... Namaanisha wanapochafuliwa mitandaoni. Kuna watu wanawachafua sheikh tusiwaache hao. Malipo yapo.....
 
Aisee nchi ngumu hii!!! By the way nje ya mada, Ile issue ya mkoa wa Chato uliyoishikia bango kipindi Cha nyuma imeifikia wapi?
 
Dhuu, hakika tabia ya uchawa haikomi na haiwezi kumuacha mtu salama.
 
Ungetumia akili yako ndogo uliyo nayo ya kwendea chooni usingeandika ujinga huu.

Hebu fafanua wanahujumu vipi taifa? Usiandike ujinga wa vijiweni humu kwenye jukwaa muhimu. Nenda kaandike Facebook utumbo huu
Chawa kama lichawa kazini. Muache mwenzako atoe yake
 
Huo ndio ukweli halisi,ila humu mizigo yote anatwishwa Magufuli.
 
Ungetumia akili yako ndogo uliyo nayo ya kwendea chooni usingeandika ujinga huu.

Hebu fafanua wanahujumu vipi taifa? Usiandike ujinga wa vijiweni humu kwenye jukwaa muhimu. Nenda kaandike Facebook utumbo huu
Kenge Mk**du wewe! .Ina maana hauoni upumbavu unaoendelea au au unakaza Mk**du
 
Hapa JPM kaingia vipi?
Mchakato wa kununua jenerator la Mw 20 unaufahamu? Tujuze. Hii ni pesa ya umma inatakiwa iwekwe wazi.

Miaka mitano ya hayati tulisahau mgao. Huu umetoka wapi?
Usukuma gang unakutesa Sana na bado utateseka Sana. Makamba is there to stay and jiwe is in hell devoured by the eternal fire.
 
Kama kweli kuna zile mbinu alizosema JPM, ni aibu kwa taifa. Kila Kona ya Kariakoo majenereta yananguruma
 
Ungetumia akili yako ndogo uliyo nayo ya kwendea chooni usingeandika ujinga huu.

Hebu fafanua wanahujumu vipi taifa? Usiandike ujinga wa vijiweni humu kwenye jukwaa muhimu. Nenda kaandike Facebook utumbo huu
Mkuu mbona umekuwa mkali kama mzee makamba?
Umeanza lini kuwatetea walamba asali?🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…