JMakamba ni fisadi na amewekwa kwenye hiyo kamati ya bunge - nishati na madini na mafisadi!! angalia mambo yanavyoenda........songas wamerubuniwa na mafisadi wakafanya njama/hila mitambo yao imekataa kufanya kazi...........ili Tanesco iingie mkataba na Dowans na sasa ndicho kinachofanyika kwani January Makamba na kamati yake wameshaongea na Tanesco ili waweke mkataba na Dowans..........sasa hivi Tanesco wanaandaa mkataba. Hivi nauliza; Kwanini Mitambo ya Songas haikuharibika siku zote kabla ya malumbano ya Dowans? Kweli nchi hii haina viongozi wazalendo; awe rais, waziri mkuu, mawaziri, mwanasheria mkuu wote ni wale wale...........endeleeni kuwanyonya watanzania ati mkifikiri ni wajinga, siku inakuja!