Mi nadhani pamoja na mambo yote yaliyotokea kisiasa na kiuchumi kati ya Rostam, Richmond, Mzee Shellukindo ( ambae nae hakuwasaidia jimbo lake kwa namna yoyote inayostahili kuwa mfano wa mbunge bora, japokuwa kazi yake katika tume ilikua nzuri...) kuna haja ya kumpa nafasi huyu jamaa tuone atafika wapi na u-OBAMA wake. Kuna aina fulani ya viongozi ambao wanajua 'ku-flirt' na media (Obama, Cameron et al.) huyu jamaa nataka kufwata nyayo zao kisiasa.. Lakini je? Atatumiaje nafasi hizo baada ya kuwatongoza watanzania na utashi na mienendo yaki-obama obama? Mi nadhani mpaka sasa bado anafasi nzuri yakupata anachotaka.. (kwa mtazamo wangu ni nguvu zakisiasa..na nafasi za juu za uongozi). Lakini vilevile ananafasi nzuri ya kutumia fursa hiyo kuleta aina mpya ya siasa katika Tanzania na Africa kwa ujumla, anafursa yakuwa A great Statesman, kama ataweza kuona zaidi ya kujitajirisha na kujitoa yeye na washirika wake kama ilivyo desturi katika Africa hii.
In other words, can January Makamba escape the trappings of power and resist the temtations which have caught most post-WWII African leaders in the modern era. If he can do this, and I hope atasoma hapa japokuwa naamini anajua vizuri kuhusu haya, basi Tanzania na Africa inaweza kupata matumaini kuwa inawezekana tukawa na viongozi waadilifu. Ukweli ni kwamba CHADEMA ambao kwa sasa wanabeba matumaini ya watu wengi waliopata muamko huu mpya wameonyesha dalili mbili tatu ambazo zinatisha kidogo... Uteuzi wa watu ambao ni mke wa fulani au dadsa wa fulani...haionyeshi strong internal democracy and this is an indication of what is to come under a government led by such a party...Could the Gaddafi-Mubarak-Ali-Museveni-Mugabe-CCM sydrome be a universal pandemic in an African sense? I await evidence to disprove this hypothesis with great anticipation. Chadema has so far failed to provide any assurances of such things never happening again, along with NCCR, TLP, CUF! When will we see internal democracy in these parties?? Ingependeza kuona mfano mzuri kutoka kwa viongozi wapya wa karne hii, kama kina J.Makamba nk.
Time will tell....
KK