Kiturilo
JF-Expert Member
- Sep 27, 2021
- 708
- 2,859
- Thread starter
- #21
Unabidii kubwa sana ya kutetea ujingaYupo anafanya makubwa anasahau hata haya madogo na basics ya kuhakikisha umeme wa uhakika hata kwa wale waliounganishwa....
Kuunganishwa is one thing kupata kile ambacho inabidi upate (umeme na sio mgao) is quite another
In short mpaka sasa he is under-performing (according to matokeo) ingawa yeye anasema neema inakuja...