January Makamba: TANESCO sasa wamesitisha miradi ya ujenzi wa maofisi na kuelekeza fedha kukarabati miundombinu ya Ugavi

Kina Makamba na ccm wakiona uchambuzi wa kimavi kama huu wanafurahi sana, ndio maana nasema nchi hii kwa uzuzu wenu huu bora mtu akipata mafasi apige hela ondoke.

Kuwatetea matahira kama nyie inataka moyo sana.
 
Hilo lijuha haliwezi kukuelewa!

Limejipinda kuandika huo ujuha wake hapo ni kwa sababu ya chuki zake kwa Magufuli basi.
 
Mauzo ya Tanesco kwa mwaka ni $1bil, trillion mbili za kibongo, hii Ni kwa mujibu wa makamba mwenyewe
 
Litakataka ni wewe unaetetea hata ujinga!

Kama Makamba anakuja na hoja kwamba umeme unakatika sababu miaka ya nyuma walikuwa hawafanyi repair na wwe unakuja kutoa uharo kumtetea kuna jinga jingine linakufaa zaidi ya takatka?
 
[emoji23][emoji23][emoji23]Takataka kabisa
 
Sasa makamba akila alafu matakataka kama nyie mnamtetea unategemea nini?

Mbowe yuko ndani ila misukule yake mnabweka tu humu
 
Unataka mifumo ifutwe? Futa sasa!
 
Kwa hiyo mtapata katiba kupitia space ya maria?

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Pia wakitaka kukata umeme walikuwa wanatoa notice ,wanakata saa ngapi, kwa nini na maeneo yapi.

Lakini huu utendaji wa Makamba
ndio unaoshangiliwa sana na Chadema ila uzuri umeme ukikatika hauchagui chama wote biashara zinadoda.
Pia wakitaka kukata umeme walikuwa wanatoa notice ,wanakata saa ngapi, kwa nini na maeneo yapi.

Lakini huu utendaji wa Makamba
ndio unaoshangiliwa sana na Chadema ila uzuri umeme ukikatika hauchagui chama wote biashara zinadoda.
Hivi issue za chama zimetoka wapi naona unamachungu mengine pole. Usipoteze uelekeo kwenye issue za umeme ubishi here ni maintenance ya Tanesco wewe tayari utoka unaelekea kwingine pole sana.
 
Walakini uko wapi, wakati unapewa jibu la kisomi...mlikuwa mnaongopewa huku mfumo mzima wa umeme unaharibika... Huwa nafikiria Hayati alikuwa na dhumuni gani na hii Nchi.
Bado tu hujajifungua mimba ya hayati?
 
Makamba anamwangusha sana Rais Samia , enzi za mwamba huyo asingepata hata muda wa kuongea hayo. January anajazwa upepo sana lakini utendaji wake ni hafifu sana


Mtu wa deals , mroho wa madaraka hapa mama Katupiga na kitu kizito

Asubili kupinduliwa na marope jamaa anatafuta hela za. Kuingia Ikulu kwa nguvu
 
Changamoto hata alie mteuwa hawezi kumtengua maaana anamuogopa sana
Kma mzee waKUSEMA TUHAMIE BURUNDI kashindws kumuondoka je ataweza huyu?mwigulu alipotoa kali hyo tu ilitosha kusema hufai kuwa wazri coz umewajibu wanainchi hovyo je huyu makamba anaongea pumba za mahindi ataweza kumnyofoa?
 



Marope aka kigogo hacha kuja kujitetea kishamba njoo na facts

Tanesco is a public service na public service ni business that furnishes an everyday necessity to the public at large. Public utilities provide water, and other essentials. Kwa kifupi Tanesco is not here for-profit making hacha dharau umeteuliwa kwa Ndumba hakuna unachojua
 
Eti anatupa jiwe gizani. Mpuuzi tu. Watu wanataka umeme usikatike ovyo wewe unapiga vijembe jpm. Wee subiri tu usifikiri ndio umefika.
 
Walakini uko wapi, wakati unapewa jibu la kisomi...mlikuwa mnaongopewa huku mfumo mzima wa umeme unaharibika... Huwa nafikiria Hayati alikuwa na dhumuni gani na hii Nchi.
Rudia kusoma ulicho andika halafu linganisha na mada ilivyo tolewa
 
Tuambie umeme unit moja Tanzania tunanua shilingi ngapi na kwenye nchi za Ulaya wananua shilingi ngapi?

Bei ya unit ikiongezewa kwa masikini unaowaita maiti umeme hautakuwa unakatika katika? Unit moja ya umeme iwe shilingi ngapi ili umeme upatikane kwa uhakika??
 
Kama ni lines zinazoenda mikoani. It worth to construct extra lines as a backup.

Kwa nini wasi repair usiku tu. Mfano saa 5 mpka 12 asubuhi?

Au, kwa nini wasichague siku ya kufanya repair. Mfano, Jumamosi wansema umeme hauta kuwepo kuanzia asubuhi saa 2 mpaka saa 12 Kwa muda fulani?
 
Waziri wa mafisadi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…