January Makamba: TANESCO sasa wamesitisha miradi ya ujenzi wa maofisi na kuelekeza fedha kukarabati miundombinu ya Ugavi

January Makamba: TANESCO sasa wamesitisha miradi ya ujenzi wa maofisi na kuelekeza fedha kukarabati miundombinu ya Ugavi

Badala ujibu hoja unaleta hoja za kuhalalisha tabia za wizi

Wewe kama umezaliwa kuona kuchukua mali ya mtu ni halali yako basi una tatizo kubwa la morality

Ni jukumu lako kulitatua hilo tatizo lako sisi halituhusu

Ni hivi,wewe una hoja gani ya kusema Tanesco wanawajibika kununua vitu ambavyo hawana hela ya kununua?

Hawana hela hizo maana mauzo yao hayakusanyi hizo hela,hivyo hawawezi nunua,full stop!

Unakua huelewi nini hapo?

Wewe ulidhani wao watoe hela hewani umewawekea hapo wachume?

Mauzo yao hayafiki huko....

Dola 100mil USD ni mauzo yao ya mwaka mzima kuanzia january mpaka desemba..Na pesa hiyo yooooote ndio bajeti ya kununua hayo material...Wewe kama CEO niambie kitu muhimu kwa shirika ni nini na nini hapo?Tuone ukubwa wa akili yako hapa.

Toa kodi,toa mishahara,toa hela ya generation,toa vitu muhimu vya grid transamission,then uone unabakia na shilingi ngapi eti kununua Liveline materials kwa ajili ya mitaa

Fanya hizo hesabu halafu ulete matako hapa...

Yaani wananchi ni so ignorant of everything...You think unachozungumza ndio kifanyike according to your own reality!
Kina Makamba na ccm wakiona uchambuzi wa kimavi kama huu wanafurahi sana, ndio maana nasema nchi hii kwa uzuzu wenu huu bora mtu akipata mafasi apige hela ondoke.

Kuwatetea matahira kama nyie inataka moyo sana.
 
Mkuu utetezi wako kwa Ndugu January hauna mantiki.

Yani Tanesco kushindwa kufanya maintenance sababu ya kukosa tools ni jambo la kipumbavu kupita maelezo.

Chukua mfano huu wa kaya 100,000 kukosa umeme kwa saa 12. Ambapo consumption ya umeme ni 3kwh, bei ya 1kwh ni 350 inclusive vat.

100,000x3x350 = 105,000,000

Kwahiyo kwa siku tu kwa kaya laki moja wanapoteza milioni 105. Kwa siku 10 ni bilioni 1.

Sasa angalia bei ya hivyo vifaa ulivyoandika hapo, compare na pesa inayopotea....
Hilo lijuha haliwezi kukuelewa!

Limejipinda kuandika huo ujuha wake hapo ni kwa sababu ya chuki zake kwa Magufuli basi.
 
Badala ujibu hoja unaleta hoja za kuhalalisha tabia za wizi

Wewe kama umezaliwa kuona kuchukua mali ya mtu ni halali yako basi una tatizo kubwa la morality

Ni jukumu lako kulitatua hilo tatizo lako sisi halituhusu

Ni hivi,wewe una hoja gani ya kusema Tanesco wanawajibika kununua vitu ambavyo hawana hela ya kununua?

Hawana hela hizo maana mauzo yao hayakusanyi hizo hela,hivyo hawawezi nunua,full stop!

Unakua huelewi nini hapo?

Wewe ulidhani wao watoe hela hewani umewawekea hapo wachume?

Mauzo yao hayafiki huko....

Dola 100mil USD ni mauzo yao ya mwaka mzima kuanzia january mpaka desemba..Na pesa hiyo yooooote ndio bajeti ya kununua hayo material...Wewe kama CEO niambie kitu muhimu kwa shirika ni nini na nini hapo?Tuone ukubwa wa akili yako hapa.

Toa kodi,toa mishahara,toa hela ya generation,toa vitu muhimu vya grid transamission,then uone unabakia na shilingi ngapi eti kununua Liveline materials kwa ajili ya mitaa

Fanya hizo hesabu halafu ulete matako hapa...

Yaani wananchi ni so ignorant of everything...You think unachozungumza ndio kifanyike according to your own reality!
Mauzo ya Tanesco kwa mwaka ni $1bil, trillion mbili za kibongo, hii Ni kwa mujibu wa makamba mwenyewe
 
Mna TISS mna DCI mna Takukuru mna TRA,mna kila kitu

Sasa badala ya kusimamia hawa mliowapa madaraka kuwachunguza na kuwachukulia hatua wanapokosea mnaona ni heri mtumie kuwaumiza akina Mbowe na Tundu Lissu na Godbless Lema,etc

Wewe na rais wako Magufuli na huyu na wengine wote ni matakataka tu!
Litakataka ni wewe unaetetea hata ujinga!

Kama Makamba anakuja na hoja kwamba umeme unakatika sababu miaka ya nyuma walikuwa hawafanyi repair na wwe unakuja kutoa uharo kumtetea kuna jinga jingine linakufaa zaidi ya takatka?
 
Una mantiki,sema hukunielewa...Umeelewa unavyojisikia wewe!
Ntakuelewesha paragraph copy inayofuata

Tanesco haijaacha kufanya maintenance eti haina vifaa!

Sijasema hivyo ndugu

Nimesema Tanesco inafanya Maintenance kwa lazima ya KUZIMA umeme maana haina vifaa vya kufanya kazi na Live lines kukiwa na umeme usizimwe!

Umenielewa?

Au bado?

Ni kwamba Tanesco inafanya maintenance safi kabisa kukiwa na dead lines maana umeme UMEZIMWA wananchi hawana umeme

Ili kufanya maintenance na umeme bila kuzima mkuu inahitaji vifaa maalumu sana vinaitwa "Liveline Equipments" ambapo Tanesco haina hela ya kununua.

Ila maintenance inafanyika vizuri kwa KUZIMA umeme ndio normal practice tangu shirika lianzishwe huko 1940's

Hakuna mahali nimesema Tanesco haifanyi maintenance sababu eti hakuna vifaa....Vifaa vya deadline vipo....tatizo ni vifaa vya liveline tu!

Hizi blah blah

Nakupa hesabu za kikubwa hapa..uniambie wewe kama bwana dev senior kutoka dev senior electric company limited kama ungefanya:

1)tanesco inajenga 85% mauzo yake yote kutoka wateja wa viwandani
2)Mauzo ya 15% tu ndio yanatoka majumbani
3)Asilimia 80% ya umeme wooote nchini unauzwa Dar es salaam tu
4)Asilimia 20% ya umeme uliosalia unauzwa mikoa mingine yote 24 iliyobakia put together

Kwanza, ni heri wananchi wote nchi nzima wazimiwe umeme wao wote uchukuliwe wote uende viwandani..maana majumbani kuuza umeme ni hasara na gharama za miundo mbinu kupeleka umeme majumbani na return zake ni HASARA

Pili,Ni heri mikoa mingine yote iliyobakia izimwe umeme usipelekwe kabisa uje Dar es Salaam pekee yake maana kuna 80% maana kuupeleka huko ni hasara...Gharama za miundombinu kupeleka umeme mikoani yote 24 iliyobaki ni kubwa mno compared na rate of return kwa mauzo ya umeme ya asilimia 20% tu.

Hivyo basi kama CEO dev senior Tanesco inafanya total charity kuwaletea umeme majumba na kupeleka umeme mikoani kote.

Hivyo sehem pekee penye ununuzi wa umeme wenye faida ni Nyerere Road na Mikocheni viwandani pekee...pengine kote including your poor house ni hasara!

Kaeni kwa kutulia
[emoji23][emoji23][emoji23]Takataka kabisa
 
Endelea kulia mkuu

Vyombo unavyo unavitumia pabaya,na hii ni kuanzia miaka ya lile taahira lenu...

Huyu mpya karithi ndio kawa kichaa kabisa

Makamba akila hamuwezi mfanya chochote maana vyombo vyenu ni kwa ajili ya akina Chadema tu

KATIBA MPYA kama Kenya!
Sasa makamba akila alafu matakataka kama nyie mnamtetea unategemea nini?

Mbowe yuko ndani ila misukule yake mnabweka tu humu
 
Unaona sasa thinking yako ilivyo suspect!

Upo unafurahi mifumo mibovu inayopelekea Makamba kula?

Unamuona Makamba ni tatizo wakati una vyombo ila huvitumii kwa usahihi kwa sababu ya mifumo mibovu iliyopo?

Sema hivi nyie mna tatizo,kuna mtu aliekuwepo alikua anakula husemi,kaingia makamba umekasirika

Mimi I dont give a fvck,nataka Mifumo yote ifutwe tuweke mifumo sahihi

Mbowe yupo ndani sababu mmeacha kutumia vyombo halali vya kiserikali kwenye maeneo yake sahihi mmeamua kwenye kumuonea navyo Mbowe sababu tu anataka Katiba Mpya itakayoleta mifumo mipya tunayoiongelea hapa.

Siangalii watu...naangalia chanzo cha tatizo....tuna tatizo la mifumo mibovu...

KATIBA MPYA tu
Unataka mifumo ifutwe? Futa sasa!
 
Tunafuta

Wait and see

Mbowe yupo ndani sababu ya hiyo mifumo

Huku Space tumewasha moto,nchi imesoma mchezo kila kitu ni Katiba Mpya

Wait and see....mama na nyie maccm lazima mpende au msipende lazima katiba ipatikane

Na 2025 haendi mtu kwenye uchaguzi bila katiba mpya...guess what,vyama vyote tukisusia national election my friend you are all in trouble!
Kwa hiyo mtapata katiba kupitia space ya maria?

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Pia wakitaka kukata umeme walikuwa wanatoa notice ,wanakata saa ngapi, kwa nini na maeneo yapi.

Lakini huu utendaji wa Makamba
ndio unaoshangiliwa sana na Chadema ila uzuri umeme ukikatika hauchagui chama wote biashara zinadoda.

Hivi issue za chama zimetoka wapi naona unamachungu mengine pole. Usipoteze uelekeo kwenye issue za umeme ubishi here ni maintenance ya Tanesco wewe tayari utoka unaelekea kwingine pole sana.
 
Walakini uko wapi, wakati unapewa jibu la kisomi...mlikuwa mnaongopewa huku mfumo mzima wa umeme unaharibika... Huwa nafikiria Hayati alikuwa na dhumuni gani na hii Nchi.
Bado tu hujajifungua mimba ya hayati?
 
Makamba anamwangusha sana Rais Samia , enzi za mwamba huyo asingepata hata muda wa kuongea hayo. January anajazwa upepo sana lakini utendaji wake ni hafifu sana

Mtu wa deals , mroho wa madaraka hapa mama Katupiga na kitu kizito

Asubili kupinduliwa na marope jamaa anatafuta hela za. Kuingia Ikulu kwa nguvu
 
Changamoto hata alie mteuwa hawezi kumtengua maaana anamuogopa sana
Kma mzee waKUSEMA TUHAMIE BURUNDI kashindws kumuondoka je ataweza huyu?mwigulu alipotoa kali hyo tu ilitosha kusema hufai kuwa wazri coz umewajibu wanainchi hovyo je huyu makamba anaongea pumba za mahindi ataweza kumnyofoa?
 
Maiti wewe

USA wana "Live Line Tools"...na kiwanda maalumu kabisa cha hizo tools worldwide kipo Connecticut,Hubbel&Chance!

Tanesco hakuna ,wanazo chache wanatumia kwa line za grid pekee yake

Sasa wewe unadhani huko kwenu mavi kunuka kwa Mpalange Tanesco ije na Liveline tools ili eti usikatiwe umeme?

Like really?

Mtu mwenyewe hasara tupu umeme umeletewa kwa msaada tu.Tanesco imetumia bilioni 12 kuleta umeme eneo lenu la Kwa Mpalange,hivi kwa viumeme vyenu vya 2000 au 1000 luku,lini mtarudisha hiyo bilioni 12 maiti nyie nyote?

Shut your butt up!

Marope aka kigogo hacha kuja kujitetea kishamba njoo na facts

Tanesco is a public service na public service ni business that furnishes an everyday necessity to the public at large. Public utilities provide water, and other essentials. Kwa kifupi Tanesco is not here for-profit making hacha dharau umeteuliwa kwa Ndumba hakuna unachojua
 
Leo Mh. Makamba kupitia account yake alikuwa akijibu suala la umeme kukatika. Lakini majibu yake yamejaa walakini.

Makamba anasema umeme zamani ulikuwa haukatiki kwa sababu watu walikuwa na hofu ya kufukuzwa hivyo walihakikisha umeme haukatiki, hali iliyopelekea kutofanya rapair.

Sasa hivi mfumo wa ugavi umechoka na ndio maana umeme unakatika Sana. Hivyo wanafanya rapair ili kuondoa huo uchakavu wa mfumo.

Bado hajasema utachukua muda gani hadi hizo repair kuisha na umeme kuacha kukatika.
Makamba ameonyesha kwamba kukatika umeme ni sawa kabisa na ni haki yetu, ndio maana anasema tulishangilia umeme ulipokuwa haukatiki huku mfumo ukiwa umechoka.

Lakini pia mheshimiwa unataka kusema huo mfumo kipindi chote cha jiwe mwendazake uliacha kuchoka ukawa unakusubiri wewe kuwa waziri ili uanze kuchoka?

Mheshimiwa wewe ukiwa kama binadamu wengine una tabia ya kusahau, Ila internet haisahau.
Mwezi uliopita September 17, ulikuwa na kikao na Tanesco na ukawapa wiki mbili umeme kuacha kukatika la sivyo utawafukuza.

Leo umesahau? Wiki mbili zimepita na sasa ni zaidi ya mwezi, bado tatizo lipo na wewe umekiri mwenyewe.

Mh. Makamba watu wanachotaka umeme uwepo muda wote ili shughuli zao ziende, hizo sababu zingine haziwahusu sana maana zipo ndani ya uwezo wenu.

View attachment 1990619

View attachment 1990620
Eti anatupa jiwe gizani. Mpuuzi tu. Watu wanataka umeme usikatike ovyo wewe unapiga vijembe jpm. Wee subiri tu usifikiri ndio umefika.
 
Walakini uko wapi, wakati unapewa jibu la kisomi...mlikuwa mnaongopewa huku mfumo mzima wa umeme unaharibika... Huwa nafikiria Hayati alikuwa na dhumuni gani na hii Nchi.
Rudia kusoma ulicho andika halafu linganisha na mada ilivyo tolewa
 
Tuambie umeme unit moja Tanzania tunanua shilingi ngapi na kwenye nchi za Ulaya wananua shilingi ngapi?

Bei ya unit ikiongezewa kwa masikini unaowaita maiti umeme hautakuwa unakatika katika? Unit moja ya umeme iwe shilingi ngapi ili umeme upatikane kwa uhakika??
Unaongea mavi tu

Yaani tanesco iache kuweka pesa kwenye generation na kulinda grid kama grid eti aje atumie hela yooooote kusimamia emergency faults mitaani hasa mitaa masikini kama yako

Pumbavu nyie

Yaani mnadhani mna haki ya kila kitu bure..kwa umeme wa 1000 unaonunua wa Luku?

Ukiwa CEO wa Tanesco shirika lenye kupata hasara kila siku,lingekufia....yaani badala ya kuweka sawa generation halafu na transmission kwenye level ya "grid" eti aje akufate wewe mtaani huko mavini kusiko pesa yeyote?

With actual numbers 85% ya mapato ya Tanesco yanatoka viwandani

Hapo 15% ndio majumbani kwenye wanunuzi wa Luku nyie maiti...infact wananchi woteee wa majumbani ni hasara kwa Tanesco

Liveline Equipments kontena ndogo ya 20feet ni shilingi bilioni 6-8 sawa na USD 2.5mil minimum..Ili kila mtaa uwe na hivyo vifaa lets say kila mkoa wa Kitanesco uwe na kontena 5 ya hizi

Maana yake kwa mikoa nearly 40 (sio mikoa ya kiserikali maana naona ushaanza kupanua matako) ni jumla ya 100mil USD sawa na msaada anaotafuta Samia Suluhu kila siku Ulaya kwa mabeberu na bado hawampi

Unaongea mavi kabisa takataka nyie
 
Kama ni lines zinazoenda mikoani. It worth to construct extra lines as a backup.

Kwa nini wasi repair usiku tu. Mfano saa 5 mpka 12 asubuhi?

Au, kwa nini wasichague siku ya kufanya repair. Mfano, Jumamosi wansema umeme hauta kuwepo kuanzia asubuhi saa 2 mpaka saa 12 Kwa muda fulani?
 
Waziri wa mafisadi
 
Back
Top Bottom