Mkuu tangu uwekewe vipande vya chupa kwenye msosi umekuwa mpoleeeee hata dhihaka kwa Chadema, Bavicha na mwamba Mbowe huzitoi tena. Umejichimbia zako huko Longido ndani ndani.Sijui ni jambo gani huwa anamwambia mkuu naye anamuamini
Maana umeme unakatika kila mara na mkuu haonekani kuguswa kabisa na hali hii.
Vipi Sasa lami kuwekwa kutoka Sanya juu hadi Longido? Tuondoe tofauti na itikadi zetu tupaze sauti Maza labda atatusikia.