January Makamba, uliteuliwa ili usimamie ukatwaji wa umeme?

Nunua jenereta wewe wacha kulialia, ulidhani stock ya majenereta yao madukani ingeondoka vipi kama si kuchukua umeme wao?
 
Ndugu mpendwa Mteja wetu

Tunafurahia kukuhudumia kupitia kurasa zetu za mitandao ya kijamii, tafadhali onesha taarifa kamili kwa huduma bora.

Jina

Eneo

Wilaya

Namba ya simu

Tatizo

Toka lini

Namba ya taarifa

Ahsante sana

TANESCO Huduma kwa Wateja

SIMU : 0748550000
 
Jina: DENILSON

Eneo: Dar-es-Salaam

Wilaya: Ubungo

Tatizo: umeme unakatika kila siku bila taarifa

Toka lini: miezi mitatu sasa toka Waziri Makamba akabidhiwe ofisi na yeye ateue bodi yake

Ahsante sana
 
Sio matatizo yako kwrnye kukatika umeme tu,hata vifaa vya kufanyia kazi hawana,kuna jamaa yangu mmoja yuko Mwanza kalipia mita yavLuku tangu mwezi 7/2021 mpaka sasa hajafungiwa,sooni VISHOKA watarudi Tanesco wakati JPM walijifuta wenyewe
 
Je amelipia kwa jina gani? Namba ta simu na Wilaya tafadhali
 
Umeme umekuwa shida sana hasa kwa sisi wakazi wa Morogoro wilayani mvomero hakuna siku ambayo umeme haujakatika yaani kutwa nzima tunashinda bila umeme
 
Umeme umekuwa shida sana hasa kwa sisi wakazi wa Morogoro wilayani mvomero hakuna siku ambayo umeme haujakatika yaani kutwa nzima tunashinda bila umeme
Ndugu mpendwa Mteja wetu

Tunafurahia kukuhudumia kupitia kurasa zetu za mitandao ya kijamii, tafadhali onesha taarifa kamili kwa huduma bora.

Jina

Eneo

Wilaya

Namba ya simu

Tatizo

Toka lini

Namba ya taarifa

Ahsante sana

TANESCO Huduma kwa Wateja

SIMU : 0748550000
 
Jina : Edward william
Eneo : Turiani
Wilaya :Mvomero
Tatizo: kukatika kwa umeme mara kwa mara bira taarifa
Toka lini : TUNA wiki takri bani 3 hv kila siku lazima umeme ukate asubu na kurudi jioni ni mara chache sana kupata umeme kwa kutwa nzima
 
Weka namba ya simu tafadhi
 
Jina: DENILSON

Eneo: Dar-es-Salaam

Wilaya: Ubungo

Tatizo: umeme unakatika kila siku bila taarifa

Toka lini: miezi mitatu sasa toka Waziri Makamba akabidhiwe ofisi na yeye ateue bodi yake

Ahsante sana
@TANESCO njoo ujibu hapa
 
Wewr nawe acha kuwa robot!Yani aweke namba ya simu?

Si amesha sema eneo ni ubungo na umeme unakatika kila siku? Au Ubungo hupajui?

Angesema kuna shida ya umeme au shida ya LUKU nyumbani kwake hapo ndio ungeomba namba yake!
Asante kwa ufafanuzi
 
Nyie acheni kuwasumbua watanzania kwa kuwakatia umeme hovyo hovyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…