January Makamba, uliteuliwa ili usimamie ukatwaji wa umeme?

Huyu aliletwa ili kusimamia upigaji.
Kwa sababu sisi Watanzania akili zetu bado zipo Likizo, ngoja waendelee tu kutupiga mpaka akili zetu zitakapokaa sawa.
Haiingii akilini watu wachache wanatufanyia ujinga wa kila aina Watanzania zaidi ya milioni 60, halafu tunabaki tumezubaa tu.
 
Tafadhali onesha namba ya simu, Wilaya na umelipia lini kwa wepesi wa kufanyia kazi taarifa zak
 
Tafadhali onesha namba ya simu, Wilaya na umelipia lini kwa wepesi wa kufanyia kazi taarifa zak
Ubungo tumeamka bila umeme mna nini nyinyi na huyo waziri wenu. Kama kuna mgao wa umeme si mtangaze tujue mnajua biashara ngapi zinasimama kwa kukosa umeme?
TANESCO
 
Ubungo tumeamka bila umeme mna nini nyinyi na huyo waziri wenu. Kama kuna mgao wa umeme si mtangaze tujue mnajua biashara ngapi zinasimama kwa kukosa umeme?
TANESCO
Kuna hitilafu imetokea maeneo hayo wataalamu wetu wanaifanyia kazi huduma itarejea mapema asubuhi ya leo
 
Halafu usambazaji umeme vijijini umefikia hatua gani?? Kalemani alikuwa anatufahamiaha hatua kwa hatua, je wakandarasi wanaofanya kazi yao sawasawaau ndiyo Bora liende
 
Kuna hitilafu imetokea maeneo hayo wataalamu wetu wanaifanyia kazi huduma itarejea mapema asubuhi ya leo

Itilafu ikitokea Ndio mnakata wilaya nzima
 
….”Uteuzi wako ulifuatiwa na uamuzi wa wewe kuvunja bodi ya Tanesco kisha kuingia mkataba wa bilioni 63 za kitanzania kwa madai ya kuboresha mfumo, mfumo ambao wewe hukuwahi kujua mapungufu yake wala uimara wake…

Mzee wa Msoga kazini. Tutafika tumechoka mnoo.
 
Sio Wilaya nzima
Ule utaratibu wa kutoa prior notice widely kabla hamjakata umeme uliondoka na Magufuli?

Huku Kimara na Mbezi yake umeme unajikatikia hovyohovyo tu. Usikute hata pale ofisini kwenu Mbezi na nyie mna standby generators
 
Taarifa inapaswa kutolewa kabla ya katizo kwenye makatizo yaliyopangwa ( Planned power interuption) kwa hitilafu taarifa huwa inatoka wakati na baada ya kutatua tatizo
 
Miaka 60 ya uhuru tunalilia umeme sad kwakweli Yan nahizo treni za umeme ziwe na sehem za mafuta watu wasijelala porini bure maana sio kwaukataji huu wa umeme,kama hapa umerudi bado wanakata wanarudisha hawachelewi kukuunguzia vitu hawa.
 
Nchi ishafunguliwa so lazima Schedule maintenance ziwe nyingi.
 
Wizara ya Nishati ni kubwa kuliko uwezo wa January Yusufu Makamba, huyu kipara alitakiwa kupewa wizara za kupiga porojo kama Wizara ya Habari, Michezo au hata Mazingira

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nchi ishafunguliwa so lazima Schedule maintenance ziwe nyingi.
Kuna uhusiano gani kati ya kufungua nchi na matengenezo ya mitambo ya umeme? Je nchi ina mageti ya umeme useme yanahitaji matengenezo?

Mitambo hiyo haikufanyiwa matengenezo miaka 5 na miezi 9 ije ifanyiwe baada tu ya January kuwa Waziri?
 
Sasa unanikasirikia mimi wakati waziri wako kasema hivyo,tukiongea tunaitwa Sukuma gang.
 
Taarifa inapaswa kutolewa kabla ya katizo kwenye makatizo yaliyopangwa ( Planned power interuption) kwa hitilafu taarifa huwa inatoka wakati na baada ya kutatua tatizo
Poleni kwa kazi. Najua mna nia njema na taifa hili. Mungu awalinde kwenye kazi yenu hii ngumu. Amen.
 
Je amelipia kwa jina gani? Namba ta simu na Wilaya tafadhali
Usiandike kana kwamba hamjui! Haya malalamiko yapo mengi na yanalalamikiwa kila kukicha na hakuna chochote chenye matokeo chanya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…