mgt software
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 13,778
- 7,145
Wana Jf
Kukatika hovyo kwa umeme ni iShara mbaya sana kwa Wazir J.Makamba, huenda wafanyakazi wanamjaribu au aliowaingiza hawana uweledi wa viongozi, jana watu walishindwa kununua umeme, vijana mnaosema wajiajiri wamekosa pesa.
Siku mzima hawakufanya kazi, leo mkoa wa kagera na sehemu fulani, Chato hakuna taarifa za matengenezo. Kila siku shida, sijui uliobakiza ni zao la mwendambingi ambaye kama vile mlikuwa washindani. Au Genge la sukuma gang linakuhujumu.