January Makamba: Umeme mwisho kukatika wiki mbili, baada ya hapo nitafukuza watu

Una misemo mikali sana
 
Hii nayo chadema watapinga as if wanataka umeme ukatike

USSR
si kupinga sisi tunaka akishndwa hata baada ya kuwafukuza mameneja yeye ajiudhuru maana na yeye atakuwa ameshindwa
unapowafukuza watu kazi na bado tatizo likawepo basi jua kuwa tatizo ni wewe
 
Wameamua kua wakweli wao tofauti na Magufuli, kukatika kwa umeme ndio ukweli wenyewe sasa

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Magufuli alikuwa muongo sana yani alikuwa ana hakikisha umeme haukatiki ili apate sifa sisi tmuamua kuwa wa kweli acha umeme ukatike [emoji2956][emoji2956][emoji2956][emoji2956][emoji2956][emoji2956]

Kuna mambo yanafurahisha sawa na yule wa maji anakwambia serikali inamtua mama ndoo hapa nilipo nagonga wiki ya tatu bila maji, ukikutana na yule naibu wa afya anasema serekale hii afya juu madawa hospitalini hakuna yaani wamechagua kua wakweli Magufuli alikua muongo sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…