peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 14,255
- 23,949
"Rombo" habari za huko?Hii generalization ni ya kipumbavu..nipo Rombo umeme upo full haujakata.
Hivi nyie mna matatizo gani ss mtu sehemu alipo umeme hamna kwahiyo asiseme?,laaana laana my foot....Vijana tafuteni ajira
Mnatumwa kumchafua mtu ili mpate riziki
Huko ni kujichukulia laana
Taarifa ni muhimu@Tanesko
hebu toeni details za matengenezo yanayofanyika na sisi mainjinia jamii tuwaelewe
Umeme umeanza kukatika leoHivi nyie mna matatizo gani ss mtu sehemu alipo umeme hamna kwahiyo asiseme?,laaana laana my foot....
Uko kisumundu , KilimanjaroUmeme haujakata tokea asubuhi, nipo Kilimanjaro
Ubarikiwe, kwa kuwa mkweli. Ccm ukiwa mkweli wanakutafutia kesi ya uhujumu uchumi.Nimefika Moshi mjini jioni hii ni kweli hakuna umeme. Matengenezo ya njia nadhani yanaendelea na yataendelea hadi ije awamu nyingine.
Washa Mshumaa!!! Mbona kwa Magufuli mlikuwa hamsemi ulipokuwa ukikatika!!? Nakumbuka umeme ulikuwa ukikatika tunasema " Umeme wa viwanda huo" nilinunua mpaka jenereta ila hamkupiga kelele,,kwani sasa mna ajenda gani!!?January makamba, eleza watanzania halisi, hakuna umeme Kilimanjaro sasa ni masaa sita tangu ukatike.
Usitegemee wananchi waishi gizani wapige kura kuchagua chama Tawala na hakuna wizi wa kura tena .
Uswahili ulisahaulika enzi za JK sasa usitegemee uswahili tena.
January makamba, eleza watanzania halisi, hakuna umeme Kilimanjaro sasa ni masaa sita tangu ukatike.
Usitegemee wananchi waishi gizani wapige kura kuchagua chama Tawala na hakuna wizi wa kura tena .
Uswahili ulisahaulika enzi za JK sasa usitegemee uswahili tena.
Wengine wanaogopa kumtaja The Legendary maana akitajwa wanaogopa legency inaweza kuwa kubwa kuliko wao.
Yaani ni mwendo wa hofu ya kutotaja jina la asiyekuwepo au hata njia fulani aliyopita, ahahhaaaa!.