Mwamba 777
JF-Expert Member
- Nov 23, 2020
- 2,055
- 3,535
hawa wahuni wameshaanza kuupiga mwingi, ndo maana aliwarudisha watu wake tanesco, walokuwepo wakatolewa, kumbe jamaa ni mpiga madili, ili waupige mwingi na jopu lake.January makamba, eleza watanzania halisi, hakuna umeme Kilimanjaro sasa ni masaa sita tangu ukatike.
Usitegemee wananchi waishi gizani wapige kura kuchagua chama Tawala na hakuna wizi wa kura tena .
Uswahili ulisahaulika enzi za JK sasa usitegemee uswahili tena.