January Makamba, umeme umekatika mkoa wa Kilimanjaro masaa 6 hadi sasa

hawa wahuni wameshaanza kuupiga mwingi, ndo maana aliwarudisha watu wake tanesco, walokuwepo wakatolewa, kumbe jamaa ni mpiga madili, ili waupige mwingi na jopu lake.
 
Piga simu Tanesco waje fix....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…