Tajiri Tanzanite
JF-Expert Member
- Oct 23, 2016
- 2,536
- 4,621
Hapo vip!!
Kwanza huwa na kukubali kwasababu ni moja wa viongozi vijana unayejielewa na unabusara pia.
Ila lazima nikuchane inapotokea jambo ambalo halijakaa vizuri!!
Hili swala la mgawo wa umeme tena ya kushtukiza na kimya kimya..ni tafsiri mbaya kwa wanzania.
Kumbuka swala la umeme ni swala nyeti sana kwasababu kuna watanzania wenzako wanategemea umeme katika biashara zao..mfano wauza samaki na nyama wataifadhi vip bidhaaa zao kama umeleta mgawo wa gafla.
Tokea jana Arusha umeme unakatwa tokea saa moja asubuhi na kurudishwa saa moja jioni...wananchi hawajapewa taarifa yeyote kuhusiana na hili...tafsiri yake nikwamba mwananchi atafanya nini..apate hasara asipate hayakuhusu.
Tunata kujua kama huu ni mgawo au kuna itilafu mahala..na itachukua muda gani iwe fixed..