Gilbert A Massawe
JF-Expert Member
- May 14, 2015
- 5,010
- 4,083
Taarifa ya waziri ina logic na inaeleweka kabisa, sijui kwanini tumezoea kupiga kelele kama mbwa koko.
Mifumo ya umeme inafanyiwa marekebisho makubwa baada ya kutofanyiwa kwa muda mrefu kutokana na watendaji kumuogopa jiwe na ndio maana waziri akatimuliwa na mama.
Kwa wakazi wa DSM ni mashuhuda, nguzo za miti kwenye njia kubwa zinatolewa na kuwekwa za zege ambazo ni maisha marefu. Labda kama tunataka kuwatoa kafara mafundi wafanye kazi moto ukiwepo
acha ujinga hizo nguzo zimeanza badilishwa toka Jpm akiwepo umeme ulikua unakatoka saa kadhaa tu now tunakaa hata saa 4-5 hakuna umeme