Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 1,096
- 4,948
Mwigulu, Nape na January wakati mnashirikuana na Mzee wa Msoga kumpokonya Lowasa Urais mliaminishwa kwamba ninyi nifamilia Bora na mtaendelea kuneemeka na siasa za Tanzania. Lakini Magu aliwaonyesha mlivyo na Tamaa na akaamua kuwadhalilisha.
Mmerudi kwenye NEEMA na mnaendelea kuwaongelesha Watanzania Kwa kauli zakuonyesha wazi kwamba kiburi kimewajaa. Bado mnaamini ninyi NI familia za daraja la Kwanza.
Napenda kuwaambia kwamba wote mtaishia kuwa Mawaziri tena Kwa kubebwa. Sukuma gang wameamua kudeal na ninyi; lakini pia ndani ya chama pia watu wamewachoka na wanatamani mkae kando......mtaendelea kuteseka na dhambi ya kuiba Hadi uzee wenu.
Karma