January na Mwigulu mlishiriki kumpokonya Urais Lowasa; Karma inawapukuchua

January na Mwigulu mlishiriki kumpokonya Urais Lowasa; Karma inawapukuchua

Si walimhujumu kwa faida ya sukuma Gang leo wamekuwaje wabaya? Ubinadamu kazi kweli. Lakini nataka nikukumbushe kwamba hawa watu siyo level yenu. January anakaa muda mrefu na mzee kinana kuliko anavyokaa na baba yake mzee makamba
Kwa hiyo akikaa na huyo Mr Tembo ndio anakuwa Rais wa Tanzania?
 
Kwa hiyo akikaa na huyo Mr Tembo ndio anakuwa Rais wa Tanzania?
Nimetoa huo mfano kuwambia tu kwamba kumchafua mtu kwa I'd fake hapa hakumfanyi awe hafai kwa wote. Watu wana nongwa na hao jamaa kisa tu walidukuliwa na aliyewqdukua akaionesha dunia kuwa amewasikia ndiyo kosa lao kama ni wezi mawazir wote wa Tanzania 🇹🇿 ni wezi, kwann hawa ndo wanasemwa tuu?
 
Nimetoa huo mfano kuwambia tu kwamba kumchafua mtu kwa I'd fake hapa hakumfanyi awe hafai kwa wote. Watu wana nongwa na hao jamaa kisa tu walidukuliwa na aliyewqdukua akaionesha dunia kuwa amewasikia ndiyo kosa lao kama ni wezi mawazir wote wa Tanzania [emoji1241] ni wezi, kwann hawa ndo wanasemwa tuu?
Hayo mambo ya kusemwa ni siasa za makundi ndani ya CCM hata yeye kuna watu anawasema kama anavyosemwa yeye, so yeye ana hao wazee wake wanaomtaka wengine pia hawamtaki ndio siasa.
 
Hapo ndo mnapofeli, unakua unajisikiaje unapomtukana mtu aliyekufa. Hizo ni dalili za kutokua na hekma na busara mkuu.
Na utadhani yeye, ndugu na uzao wake wote babu na bibi zake wafapo huhifadhiwa kwenye dryer na hakuna mmoja wao aliyewahi kuhifadhiwa mavumbini.
 
Kati ya watu wa hovyo labisa ni pampja na hao wawili. Mwigulu ndiye alikuwa Makonda wa Kikwete. Mauaji ya Arusha, ndiye alikuwa mhusika mkuu.

Kiasili, Mwigulu ni dikteta. Januari kiasili ni fisadi.
 
Walitengeneza ofisi Masaki ya kuhujumu uchaguzi .

View attachment 2596703
Nashukuru Mungu sikushiriki harusi ya moja ya waliokuwa mafundi hapo, ofisini masaki, japokuwa ni mtoto wangu kabisa (mtoto wa kaka yangu).

Dhambi ya wizi ni sawa na ubaguzi na kula nyama ya binadamu.

Ni neema ya Mungu pekee inayoweza kumtoa mtu huko kwenye dhambi ya kula nyama ya mtu.
 
Mwigulu, Nape na January wakati mnashirikuana na Mzee wa Msoga kumpokonya Lowasa Urais mliaminishwa kwamba ninyi nifamilia Bora na mtaendelea kuneemeka na siasa za Tanzania. Lakini Magu aliwaonyesha mlivyo na Tamaa na akaamua kuwadhalilisha.

Mmerudi kwenye NEEMA na mnaendelea kuwaongelesha Watanzania Kwa kauli zakuonyesha wazi kwamba kiburi kimewajaa. Bado mnaamini ninyi NI familia za daraja la Kwanza.

Napenda kuwaambia kwamba wote mtaishia kuwa Mawaziri tena Kwa kubebwa. Sukuma gang wameamua kudeal na ninyi; lakini pia ndani ya chama pia watu wamewachoka na wanatamani mkae kando......mtaendelea kuteseka na dhambi ya kuiba Hadi uzee wenu.

Karma
CCM ina hazina ya vijana wengi tulio na uwezo wa kiuongozi....

Na kwa faida ya CHAMA BORA AFRIKA na taifa letu pendwa mbona tayari HAYATI JPM(Rip) ametufundisha kuwa MAZOEA si lazima yawe mambo ya WAJIBU.....

#SiempreJMT[emoji7]
#MamaHuyooooKajaaa[emoji7][emoji7]
 
Upo msemo unasema ukitumika kufanya mambo yakijinga waliokutuma wanajua wewe ni mjinga hivyo sio rahisi kukupa ufunguo ukafanye ujinga wako. Ndio maana usishangae wanamyafuta mtufuta mtu huko wanampa kiti. Ukileta fyoko fyoko wanakupa za uso
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Tumaini upo kaka?!!!

Palepale Makumbusho ama?!!!
 
Nashukuru Mungu sikushiriki harusi ya moja ya waliokuwa mafundi hapo, ofisini masaki, japokuwa ni mtoto wangu kabisa (mtoto wa kaka yangu).

Dhambi ya wizi ni sawa na ubaguzi na kula nyama ya binadamu.

Ni neema ya Mungu pekee inayoweza kumtoa mtu huko kwenye dhambi ya kula nyama ya mtu.
Sawa MRUSI wa kutoka "umakondeni" [emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom