Kwa hiyo akikaa na huyo Mr Tembo ndio anakuwa Rais wa Tanzania?Si walimhujumu kwa faida ya sukuma Gang leo wamekuwaje wabaya? Ubinadamu kazi kweli. Lakini nataka nikukumbushe kwamba hawa watu siyo level yenu. January anakaa muda mrefu na mzee kinana kuliko anavyokaa na baba yake mzee makamba
Nimetoa huo mfano kuwambia tu kwamba kumchafua mtu kwa I'd fake hapa hakumfanyi awe hafai kwa wote. Watu wana nongwa na hao jamaa kisa tu walidukuliwa na aliyewqdukua akaionesha dunia kuwa amewasikia ndiyo kosa lao kama ni wezi mawazir wote wa Tanzania 🇹🇿 ni wezi, kwann hawa ndo wanasemwa tuu?Kwa hiyo akikaa na huyo Mr Tembo ndio anakuwa Rais wa Tanzania?
Hayo mambo ya kusemwa ni siasa za makundi ndani ya CCM hata yeye kuna watu anawasema kama anavyosemwa yeye, so yeye ana hao wazee wake wanaomtaka wengine pia hawamtaki ndio siasa.Nimetoa huo mfano kuwambia tu kwamba kumchafua mtu kwa I'd fake hapa hakumfanyi awe hafai kwa wote. Watu wana nongwa na hao jamaa kisa tu walidukuliwa na aliyewqdukua akaionesha dunia kuwa amewasikia ndiyo kosa lao kama ni wezi mawazir wote wa Tanzania [emoji1241] ni wezi, kwann hawa ndo wanasemwa tuu?
Mhhh!Lowassa hakutendewa haki Kabisa!
Na utadhani yeye, ndugu na uzao wake wote babu na bibi zake wafapo huhifadhiwa kwenye dryer na hakuna mmoja wao aliyewahi kuhifadhiwa mavumbini.Hapo ndo mnapofeli, unakua unajisikiaje unapomtukana mtu aliyekufa. Hizo ni dalili za kutokua na hekma na busara mkuu.
Nashukuru Mungu sikushiriki harusi ya moja ya waliokuwa mafundi hapo, ofisini masaki, japokuwa ni mtoto wangu kabisa (mtoto wa kaka yangu).
CCM ina hazina ya vijana wengi tulio na uwezo wa kiuongozi....Mwigulu, Nape na January wakati mnashirikuana na Mzee wa Msoga kumpokonya Lowasa Urais mliaminishwa kwamba ninyi nifamilia Bora na mtaendelea kuneemeka na siasa za Tanzania. Lakini Magu aliwaonyesha mlivyo na Tamaa na akaamua kuwadhalilisha.
Mmerudi kwenye NEEMA na mnaendelea kuwaongelesha Watanzania Kwa kauli zakuonyesha wazi kwamba kiburi kimewajaa. Bado mnaamini ninyi NI familia za daraja la Kwanza.
Napenda kuwaambia kwamba wote mtaishia kuwa Mawaziri tena Kwa kubebwa. Sukuma gang wameamua kudeal na ninyi; lakini pia ndani ya chama pia watu wamewachoka na wanatamani mkae kando......mtaendelea kuteseka na dhambi ya kuiba Hadi uzee wenu.
Karma
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Upo msemo unasema ukitumika kufanya mambo yakijinga waliokutuma wanajua wewe ni mjinga hivyo sio rahisi kukupa ufunguo ukafanye ujinga wako. Ndio maana usishangae wanamyafuta mtufuta mtu huko wanampa kiti. Ukileta fyoko fyoko wanakupa za uso
Sawa MRUSI wa kutoka "umakondeni" [emoji1787][emoji1787]Nashukuru Mungu sikushiriki harusi ya moja ya waliokuwa mafundi hapo, ofisini masaki, japokuwa ni mtoto wangu kabisa (mtoto wa kaka yangu).
Dhambi ya wizi ni sawa na ubaguzi na kula nyama ya binadamu.
Ni neema ya Mungu pekee inayoweza kumtoa mtu huko kwenye dhambi ya kula nyama ya mtu.
Kum..... aaaaaaa!!Hekima ni wizi? Ukatiri aliofanya wenye nchi? Kwendraaaaa
Mimi ni "Mtanganyika" na Mtanzania, japo nimesoma na kupata mtoto huko kwa "jiniasi" Putin.Sawa MRUSI wa kutoka "umakondeni" [emoji1787][emoji1787]