January nenda taratibu

January nenda taratibu

Wacha awafyeke hao sukuma gang waliopenyezwa kila idara ya serikali. Na miradi yote ya upendeleo huko sukuma land fyekelea mbali.

Lazima nchi iendeshwe kwa uadilifu haiwezekani watu waingizwe ingizwe tu kikabila na kindugu
Akipeleka miradi huko Tanga utaongea haya haha uliyoyaongea hapa ama itabadilika tu.
 
Utakua sahihi kama umesahau aliwahi kumsema mkuu wake wa chama.
Kusema mtu hasa ukimsema kwa yaliyodhahir ilikiwa ngumu kwa wenye akili kama January kutomsema magufuli yule hakuwa sawasawa. Aliongoza nchi kishamba sana Bora kaondoka
 
Unakumbuka mabilioni aliyokopa kwenye mfuko fulani wa wafanyakazi na hadi leo hajarudisha!
Chuki hizi zilienezwa na musiba sasa anangoja hukumu yake. Hivi ni nani msafi hapo lumumba????
 
Januri Makamba amejaliwa Hekima, utu, maadili, akili, utulivu, busara vitu ambavyo ni hadimu sana kwa wanasiasa wengi wa ccm.

Januari anapigwa sana vita sababu anavitu ambavyo wenzake hawana. Kiufupi wanamuogopa.
Baada ya miaka mitatu tukiwa hai nadhani tutakua tunaongea lugha moja, sa hivi endeleeni na akili zenu za kijinga na av yako hiyo
 
Back
Top Bottom