January vipi huko kwenu?

January vipi huko kwenu?

Umasikini na kuiga iga ndio chanzo. Kwanini ikifika December ndio uishi pretentious lifestyle? What's the difference between huo mwezi na miezi mingine?

Mimi naamini kabisa hayo maisha wanaishi watu maskini na ndio maana huwa wanaishia kuteseka.

Watu wenye hela zao huwa hawana mbwembwe eti sijui Christmas na ujinga mwingine. Kwao kila siku ni siku yakufurahia maisha hawana haja ya kusubiri mwezi fulani.

So huwezi kukuta mtu kama huyo analalamika eti January ngumu kisa ali overspend December.
Mmmh mbona Matola yeye kasema December ndio matajiri wanaenda kula Bata?Mimi nilikuwa najua Kama wewe everyday is Xmas kwa vibopa
 
Wasalaam,

Eti jamani huko kwenu vipi January imesha tayari?sie huku ndio tunafika ukingoni. Huku kwetu kila mtu analalamikia huu mwezi,yaani full lawama, eti ni mwezi mgumu sana,watu

Ni mwendo wa ndondo mixer kabeji ukiuliza kuna nini kwani mbona ratiba za mezani hazieleweki majibu Ni yaleyale mwezi mgumu Sana,kila jirani namsikia akilia wimbo huo huo sasa nikawa najiulizia hivi.

1. Kwanini January ionekane ni mwezi mgumu kuliko yote kisa tunalipa Ada za watoto, mbona shule ya mwanangu Mimi nalipa Ada karibu mwaka mzima kwa installment,au Kuna shule zinalipa pesa yote January?

Kuna mtu atasema ni kwa sababu December tumetoka holiday, kwa hili sioni kama kuna ukweli maana familia chache ndio zina utaratibu wa kwenda vacation December, na familia nyingi hazina huu utaratibu Sasa tuseme pilau za Xmas ndio zimeleta majanga? sio kweli.

2. Kuna baadhi yetu watoto wetu wanasoma public school hawalipi Ada, lakini wimbo wetu ni uleule January ngumu sana hii sasa ni kuuonea huu mwezi.

3. Hivi Nyie wenzetu mliwahi ishi nchi mbali mbali na huko nako January ni Kama huku? Au sie Tanzania January yetu imekuwa Kali Sana?

Basi nisiwachoshe wananchi,Ila tukipata muda tutafakari na tujipange na na tuwe na utaratibu kujiandaa mapema kukabiliana na huu mwezi.

Tuwe na utamaduni wa kufanya budget za Ada mapemaaaa maana suala la Ada sio suala la ghafla, hii itatusaidia kupunguza hivi vilio vya January na tutauona huu mwezi kama miezi mingine, maana tumeupa Kiki Sana.

Tuwe na siku njema.
Mrembo acha kulialia njoo tule za usa hujaumbiwa shida wewe A
 
Nina miaka 53 na ushee.

Kwa maana hii Watanzania wengi uchumi wetu tunategemea wazungu ambao December kimsingi wanaenda kula Xmass[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]

Nafahamu ndio Maisha ya watanzania Ni kuungaunga mbona mwezi wa Saba wakilipa Ada hawalalamiki?au ndio kwa sababu matajiri wanakuwa hawajaenda huko holiday??Basi sawa nimekulewa Asante kwa mchango.

Huko mtaani kwenu ndio wapi pataje watu tupajue na sie
Mi umeniacha hoi kwenye miaka yako Dah 53[emoji39][emoji39][emoji12] nilikuwa na lengo fulani hivi sasa naona ndoto yangu haitatimia [emoji24][emoji24]

Kuhusu januari kiukweli toka nije tz kutokea anga za mbali sijawahi kuona mtanzania akisema leo afathari nina kibunda kama wapo hao si watanzania ila kaja muda mrefu hapa nchin[emoji56][emoji56]
 
Mi umeniacha hoi kwenye miaka yako Dah 53[emoji39][emoji39][emoji12] nilikuwa na lengo fulani hivi sasa naona ndoto yangu haitatimia [emoji24][emoji24]

Kuhusu januari kiukweli toka nije tz kutokea anga za mbali sijawahi kuona mtanzania akisema leo afathari nina kibunda kama wapo hao si watanzania ila kaja muda mrefu hapa nchin[emoji39][emoji39][emoji39]
Mbona huo ndio umri mzuri kumpigisha kwata?
 
Niliwahi panda bajaji nikimharakisha dereva aongeze mwendo ili niwahi naye kwa kujiamini alinijibua kuwa leo ni Jumanne usiwe na hofu kaka hakuna foleni, tunawahi vizuri.

Nilipomdadisi zaidi akaniambia hata kwenye mahesabu siku ya Jumanne ipo 'slow'..

Najua havina uhusiano ila ndo wabongo washachagua kuamini..
Wenyewe wanakwambia jumanne siku ya jini labda Kaka Mshana Jr anajua siri
 
Back
Top Bottom