Google Diggers
JF-Expert Member
- Aug 29, 2015
- 944
- 1,138
Kwenye hoja Moja kwa moja.
Haya maisha hayaishi.
Muuaji amenipa funzo kuu. Kwamba nisithibutu kuishi na nyongo. Tunakosewa Sana na viongozi, viongozi hawajui tunayopitia. Wao madam wanasafir kwa ving'ora na nyumba zao zinalindwa sisi tunaishi kama digidigi. Tunamolala wakati tukiutafuta usingiz maskio kila pembe anapopita paka unaisikia motion.
Viongozi kama si mageti yenye electric shock za umeme Wana walinzi, jamani wananchi mimi nikikabwa na kuporwa vitu na simu, saa ya mkonon wallet au pchi, viongozi wao Wana vimulimuli.
Wakati haya yakiendelea, Kuna management Zina relax na kudanganya uswari wa mambo. Vibaka waki injoi maisha. Jeshi la police linatakiwa libadilike sana